Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

Bandari haitawaacha salama aiseee
Pamoja na kwamba kuna wengine wametuibia miaka na miaka kupitia mgongo wa dini. Serikali itawasamehe ili tuanze upya.

Lkn bandari haiwezi kurudishwa katika mikono yao tena. Trust me
 
Nasikia wanataka badili sheria ili kuondoa ulinzi wa Mali za watanzania usiwe chini ya wananchi na ni bunge la September mzigo unakuja bungeni
Sio unasikia, ukweli ni kwamba hata sasa bandari haipo chini ya wananchi kama unavyodanganywa, bali ipo chini ya genge la wakwepa kodi, waiba mafuta na vifaa mbali mbali pale bandarini, wapitisha madawa ya kulevya na vishoka wao.

Ndomaana baada ya kugundua kwamba serikali inataka kuwanyang'anya ili iwape watu watakaohakikisha kila anaepitisha mzigo bandarini analipa kodi na ushuru, sasa wameanza kutatalika kama mahindi ya kukaangwa ndani ya sifuria au kuku aliekatwa kichwa ghafla.
 
Kwenye ukweli, uongo hujitenga. Hata kama inachukua saa kadhaa, au siku kadhaa au miaka ladhaa.

Kuna wakati si busara kujifanya mjuzi sana wa Mambo maana yakibadilila, utakosa pakuufichia uso wako.

Nilicho na hakika nacho ni kimoja..
MWENYEZI MUNGU atatuongoza salama.
 
Pamoja na kwamba kuna wengine wametuibia miaka na miaka kupitia mgongo wa dini. Serikali itawasamehe ili tuanze upya.

Lkn bandari haiwezi kurudishwa katika mikono yao tena. Trust me
Kina nani hao? Mbona mnadanganyana sana🀣🀣🀣🀣🀣

Hakuna sehemu mnatumia akili zenu hata kidogo?

Wazee wa kufanya re-evention wanawacheka
 
Hahahaha mama apandishwe sukari na joka lenu la kibisa lililodhibitiwa hata na yule mtu mwembamba hapo Rwanda.

Ilikuwa zamani, lkn kwa sasa hawana jipya, ndomana leo Kagame anawapangia cha kufanya na namna ya kuendesha ibada zao huko Rwanda.
 
Ila hili la moto,ccm kutema shida kumeza tabu .niko pale
 
trust you gwa nyoko hakuna mwarabu wa dubei atawekeza pale kwa mkataba ule kiufupi wamengia choo cha shimo hao DP Weird!
 

We nae ni mpuuzi kama wapuuzi wengi
 
Ila hili la moto,ccm kutema shida kumeza tabu .niko pale
Hamna kitu kibaya, kinachouma na kukatisha tamaa kama kumpigia kelele mtu anaekupuuza.

Madongo aliyorusha askofu shoo yamewavua nguo na kuwakatisha tamaa jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunaposema hatutaki mkataba wa kinyonyaji

Ni faida mpaka kwa wana mburula wa ccm wanaosema chukua yoteyote!
Nakuonea huruma kwa kutumia muda wako, bando lako na nguvu zako kutetea masilahi ya baba wa wenzako.
 
Endelea kupigia chapuo uuzwaji wa nchi yako,, kesho na keshokutwa muanze tena kujiliza liza kwanini Kariakoo imetekwa na waarabu kila duka ni wao,,
Aliekudanganya hivyo saa hizi ashavuta chake anakula na familia yake, wewe kabwela unabakia na uzalendo wako uchwara.
 
"Ngoma bado mbichi.
Mkataba wa kilaghai hauwezi kutekelezeka". Naunga mkono hoja!
 
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Ukute wewe mwenyewe haujui hata bandari hiyo Iko wapi.

Wanaokudanganya kuwa bandari inaondoka, ndio wanajua ilipo na ndio wanaotafuna mamilioni ya bandari.

Wewe endeleza uzalendo uchwara kwa kupigania ugali wa wenzako.
 
Aliekudanganya hivyo saa hizi ashavuta chake anakula na familia yake, wewe kabwela unabakia na uzalendo wako uchwara.
Waarabu wameshakataliwa na wenye nchi,, rudisheni kishika uchumba cha watu,, ama sivyo kiwake na nasikia wenye nchi hawataki hata kusubiri hiyo 2025,,

Nacheka lakini naogopa,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…