Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mwambie atolee mfano na Marekani baba laoHilo halimaanishi kuwa utawala wa majimbo husababisha baadhi ya majimbo yatake kujitenga. Ni uvivu kifikiri hivyo.
Sikusikii ukizungumzia "shida ya local people used to abuse other communities when power was on their side"!
"Kichocheo kiaje"? - wakati kundi la watu katika eneo moja wanapojitambua kuwa wao wanahaki zaidi ya wengine, au sifa ya kipekee wanayojiona kuwa nayo wanayodhani inawafanya wawe zaidi ya wengine wasiokuwa eneo lao, hicho kinaweza kuwa kichocheo muhimu ya kuleta vurugu ndani ya nchi.
Mkuu nakukumbusha tu kuwa TPLF kilianzishwa mwaka 1975......na sasa ni CHAMA CHA SIASA pia.....kimeshawahi kuiongoza ETHIOPIA chini ya mwamvuli wa vyama....
Mkuu yaani unafananisha Banyamulenge na TPLF?!! Duuh hauko serious [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Umemsahau waziri mkuu aliyetawala muda mrefu hayati Meles Zenawi ?!!!!!
Kenya kila jimbo wamechagua serikali pamoja na Gavana kama kiongozi wao na wanapewa bajeti kutoka serikali kuu ya kujiendesha pamoja wanakusanya kodi kwa matumizi ya jimbo . Mfumo huo umeshindwa kabisa tukianza na jiji la Nairobi Gavana wake aliondolewa na jiji hilo limeundiwa baraza chini ya Meja General. Wizi na ufisadi mkubwa umefanyika kwa mfumo huo wa majimbo chini ya viongozi hao. Kwa umoja wa Tanzania serikali ya majimbo haifai kabisaaa labda wanaotaka mpango hawaitakii mema TanzaniaVurugu za Kenya mbona zimeanza hata kabla ya majimbo? In fact sahivi zimepungua sababu kila "kabila" lina serikali yake so linajipangia vipaumbele kuliko zamani ambapo wanufaika walikua wakikuyu/kalenjin pekee.
Tatizo waTZ tunapenda kufungamanisha vitu, mfano tatizo la Ethiopia ni kukosekana inclusive economy ila tunakimbilia kulaumu mfumo wa majimbo!!
Mfumo wa majimbo CHADEMA ni sawa tu na halmashauri zilizopo kuongezewa wigo wa mapato na maamuzi tofauti ni kwamba badala ya halmashauri ya Kalambo kusubiri maamuzi ya Dodoma, wao wanaregulate na serikali ya jimbo la Magharibi n.k. ila masuala kama ulinzi yanabaki kwa serikali kuu.
Tusipotoshe
Hao marekani si walishatufuana civil war,. Mambo hayo hayo majimbo fulani kutaka utumwa mengine hayataki
Kenya kila jimbo wamechagua serikali pamoja na Gavana kama kiongozi wao na wanapewa bajeti kutoka serikali kuu ya kujiendesha pamoja wanakusanya kodi kwa matumizi ya jimbo . Mfumo huo umeshindwa kabisa tukianza na jiji la Nairobi Gavana wake aliondolewa na jiji hilo limeundiwa baraza chini ya Meja General. Wizi na ufisadi mkubwa umefanyika kwa mfumo huo wa majimbo chini ya viongozi hao. Kwa umoja wa Tanzania serikali ya majimbo haifai kabisaaa labda wanaotaka mpango hawaitakii mema Tanzania
Hakuna uwajibikaji wowote toka Kenya ipate katiba imekuwa vurugu za kisiasa Rais na Makamu toka uchaguzi uishe 2017 wapo kwenye malumbano. Ufisadi kupitia serikali ya majimbo umeongezeka sana chuki na siasa za kikabila zimezidi mno na kuna wasiwasi uchaguzi mkuu mwakani kutokea vurugu kubwa. Tanzania chini CCM tupo salama sana. Mwalimu alisema 1995 "We can not let the country goes to the dogs "Mbona unapotosha;
Ruto na JK ni chama kimoja kinaitwa jubilee, in fact hiko chama kipya cha UDA ni moja ya vyama vilivyopo kwenye muungano wa Jubilee.
Then Rais angefariki wanarudi kwenye uchaguzi simple and clear sio sisi akifariki Rais basi makamu wake licha ya track record wala mandate ya watu anapewa tu Urais!!
Yes katiba mpya ya kenya ni bora kuliko yetu hasa kwenye kulinda uhuru wa bunge na mahakama ndio maana kuna uwajibikaji kuliko hapa kwetu.
Utapata jibu la hasara ya katiba hiyo ya Kenya mwaka kesho wakati wa uchaguziKenya ilidumu na katiba mbovu kwa karibia nusu karne, unafikiria mambo yangenyooka na kuwa tambarare tu chini ya miaka isiyozidi hata kumi ya utekelezaji wa katiba mpya?
Wewe Mtanzania unawezaje kusema katiba ya Kenya imeshindwa wakati Wakenya wenyewe hawajasema hivyo?! Hakuna Mkenya mwenye akili timamu anayeweza kutamka hadharani anataka kurejea kwenye katiba yao ya zamani, na siku wakiwepo wakenya wa kutosha kutaka kurejea katiba na mifumo yao ya zamani hakuna mtu atakayaweweza kuwachelewesha hata dakika moja.
Hao marekani si walishatufuana civil war,. Mambo hayo hayo majimbo fulani kutaka utumwa mengine hayataki
Unaona yani viongozi wa majimbo wana kuwa na sauti hadi wanafikia hatua ya kubeba silaha kupiga majimbo mengine ili tu kusimamia kwenye msimamo yao jambo ambalo kwa mfumo wetu wa mikoa ni hali wezi kutokea Eti viongozi wa mkoa wa aendesha uasi dhidi ya serikali
Utapata jibu la hasara ya katiba hiyo ya Kenya mwaka kesho wakati wa uchaguzi
Unajua wewe akili bado changa sana kwenye siasa za Africa mashariki huo uchizi wenu msitegemee taifa hili likabidhiwe kwa matahira ya aina yakoFunga domo lako sasa hadi mwaka kesho baada ya uchaguzi ndio ulifungue.
Cape Delgado- Msumbiji
Nigeria- Kano/Katsina
Tunachomaanisha uwezo wa kumudu mgawanyo wa majimbo na utatuzi wa changamoto zake. Haina maana kwamba haiwezekani.
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziadaYaani tusitoe mawazo yetu ya kujenga nchi kwa kuogopa kuwa tutaitwa tunajipendekeza ?!!! Khaaa 😳😳
Mawazo ya ajabu kabisa haya duuuh 😳😳
CCM ina vijana wengi....yaani wote wateuliwe ilihali uteuzi si tu kwa ajili ya vijana ?!!
Hapa tunajadili mapungufu ya Sera za MAJIMBO hususani barani Afrika kwa mustakabali mwema wa taifa letu na kukua kwake zaidi ya hizo nafasi za uteuzi na maslahi ya mtu mmoja mmoja......
Amka wewe......
SIEMPRE JMT
Shukran mkuu wangu 🙏Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
Hiki ndicho ninachomaanisha. Ndiyo maana majimbo kwa akili za viongozi wengi wa kiafrika ni kutafuta matatizo...nadhani matatizo waliyonayo wenzetu ktk majimbo yameanza kutunyemelea ktk mfumo wa mikoa tulio nao.
..unapokuwa na watawala wasiotenda HAKI hakuna mfumo wowote wa utawala utakaoweza kudumu.
..ni rahisi zaidi kukandamiza raia ktk mfumo wa mikoa, na centralized, kama wetu, ukilinganisha na mfumo wa majimbo.
..nadhani hali hiyo ndiyo inayowafanya watawala wetu waogope mfumo utawala wa majimbo.
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
Duuuh mkuu mbona umejiweka mbali na UHALISIA ?!!!Wa
Wazo la kijinga. Katiba mbovu ndiyo imepelekea mtu ambaye hakuwahi hata kuwaza kuwa rais sasa ndiye Rais. Yaani hata hajawahi kuwa hata waziri wa serikali ya muungano leo anaendesha nchi. Anajua nini zaidi ya kushikwa akili.!?
Na ndilo kosa la awamu ya kwanza ( kufungamanisha chama na system za serikali na chama kushika hatamu). Kosa ambalo mpaka leo bado hakuna aliyerekebisha.Hayati Kaunda aliweka precedent kama ambavyo hayati Jerry Rawlings wa Ghana na yule wa Malawi Kamuzu, kitu ambacho hayati Nyerere alikataa kufanya kule Zanzibar. Kaunda angekataa kuachia madaraka angeweza , Jerry pia angeweza kule Ghana kuhakikisha mgombea wa chama chake anatangazwa. Nyerere alikataa hilo lisitokee Zanzibar 1995, kwa hiyo kinachotokea Zanzibar leo ni zao la dhambi ile. Je, kama kipande kile kidogo cha Zanzibar wako tayari kuua watu ili wasikiachie, watakuwa tayari kuliachia pande kubwa la Bara!? Jibu ni hapana.
Huko kwingine wazee wa TaifA walishaonesha mfano kuwa kuachia madaraka ni jambo sahihi unaposhindwa uchaguzi.