Mgogoro wa Kariakoo sio rahisi kuumaliza, bado yataendelea

Binafsi nakubaliana na Mfanyabishara aambae analeta alternative ila sio kupinga tuu Kodi ,kama serikali imefanya uchambuzi na kuona hiyo alternative sio endelevu na Haina Tija hawawezi kuikubali.
 
Wafanyabiashara Sisi sio kama walimu au madaktari jipangeni
msije mkajiona mna nguvu ya kuitetemesha serikali, lipeni kodi stahiki mselete ujanjaujanja wa kukwepa. Iwe mwanzo na mwisho kugoma
 
Tz mfanyabiashara wa Kkoo anayeuza mzigo wa 5m kwa siku na faida si chini ya 2m kwa siku anataka kutoa kodi ya laki 5 kwa miezi 3, hao jamaa si wa kuwachekea, ni wakwepaji kodi wakubwa.
Hapa umetudanganya
 
Hapa Kuna siasa ila Serikali ikiendelea kufanya mzaha wa kuwabembeleza watayumbisha sana..

Sio tuu huko Kariakoo,kokote kule wafanyabiashara Huwa Hawataki kutoa risiti na kama ndio hivi wanavyobembelezwa Serikali ijiandae Kwa mapato kiduchu..

Sio sawa ku sucrifice maslahi ya Nchi Kwa maslahi ya Kisiasa..

Natamani washughulikiwe,ni heri kuingia hasara ila nidhamu ije..

Museveni Huwa hana mda wa kuhangaika na wanaoandamana anawaachia ila wakizidi wanakula Cha moto then wanakacha wenyewe..

Hao wasipofungua maduka kwani watakula wapi?

Ukweli ni kwamba Wafanyakazi Huwa hawatoi risiti Halali,pamoja na Changamoto ila niwakwepa Kodi wakubwa.

Kama kila atakaye lia atabembelezwa nchi itakuwa ngumu, TRA wana sheria zao, na sekta zingine pia… sasa kama ukigoma una bembelezwa si na walimu, dala dala, boda boda na wengine watagoma pia
Kufunga biashara it’s not a crime, wangewaacha tu njaa ingewatoa mashimoni na si hivi… sasa wanajiona wao ni special
 
Nakuunga mkono na mguu,Nchi haiwezi kwenda Kwa staili hiyo
 
Tz mfanyabiashara wa Kkoo anayeuza mzigo wa 5m kwa siku na faida si chini ya 2m kwa siku anataka kutoa kodi ya laki 5 kwa miezi 3, hao jamaa si wa kuwachekea, ni wakwepaji kodi wakubwa.
Hesabu haiendani na uhalisia, mtaji wa million 5 faida ni laki 3 hadi laki 5 inafatana na biashara
 
Tz mfanyabiashara wa Kkoo anayeuza mzigo wa 5m kwa siku na faida si chini ya 2m kwa siku anataka kutoa kodi ya laki 5 kwa miezi 3, hao jamaa si wa kuwachekea, ni wakwepaji kodi wakubwa.
Duh... mzigo gani huo unalipa kiasi hicho Mkuu.. tupeane deal.
 
Mfano mdogo tu ni Pharmaceutical products, faida ni nusu almost ya mauzo. Kkoo akiuza mzigo wa 5m kwa siku faida si chini ya 2m, hao jamaa ni hawataki kulipa kodi, VAT ni ya mnunuzi ndio analipa, wao inawauma nini ?
 
Hapa Kuna siasa ila Serikali ikiendelea kufanya mzaha wa kuwabembeleza watayumbisha sana..

Sio tuu huko Kariakoo,kokote kule wafanyabiashara Huwa Hawataki kutoa risiti na kama ndio hivi wanavyobembelezwa Serikali ijiandae Kwa mapato kiduchu..

Sio sawa ku sucrifice maslahi ya Nchi Kwa maslahi ya Kisiasa..

Natamani washughulikiwe,ni heri kuingia hasara ila nidhamu ije..

Museveni Huwa hana mda wa kuhangaika na wanaoandamana anawaachia ila wakizidi wanakula Cha moto then wanakacha wenyewe..

Hao wasipofungua maduka kwani watakula wapi?

Ukweli ni kwamba Wafanyakazi Huwa hawatoi risiti Halali,pamoja na Changamoto ila niwakwepa Kodi wakubwa.
Mi nakushauri wewe fungua duka Kariakoo, fanya kwa mwaka mmoja tu, halafu rudi usome hii comment yako. Mimi nipo tayari kukukopesha milioni 200 ufungue biashara Kariakoo, ulipe kodi zote na usikate kona hata kidogo, ukifanikiwa kutoboa mwaka wa pili, nakusamehe huo mkopo. Ila nataka dhamana ya nyumba.
 
Tz mfanyabiashara wa Kkoo anayeuza mzigo wa 5m kwa siku na faida si chini ya 2m kwa siku anataka kutoa kodi ya laki 5 kwa miezi 3, hao jamaa si wa kuwachekea, ni wakwepaji kodi wakubwa.
Ingekua rahisi hivyo kila mtu angefanya biashara kkoo
 
Tz mfanyabiashara wa Kkoo anayeuza mzigo wa 5m kwa siku na faida si chini ya 2m kwa siku anataka kutoa kodi ya laki 5 kwa miezi 3, hao jamaa si wa kuwachekea, ni wakwepaji kodi wakubwa.
Uuze 5m faida upata 2m. Sasa kwanini nyinyi wengine hamfungui hizo biashara, au nyie hamtaki faida? Mabenki mengi tu yanatoa mikopo, msisingizie hamna mitaji, kakopeni benki, wekeni nyumba zenu dhamana, kaanzisheni biashara na nyie mpate faida jamani
 
Kama mtu ni mfanyabiashara anajua madhira wanayopitia. Wewe ambae haufanyi biashara tulia tu. Lakini mimi naona ipo siku hii nchi nzima itaamua kusitisha kufanya biashara jwa siku tuone hayo mapato watapata wapi. VAT 18% n kubwa sana apo Kenya kwao ni 16% sasa sijui serikali yetu inakwama wapi itafika wakati tuhamie nchi nyingine maana apa serikali haisikilizi wadau wa biashara na kodi
Halafu VAT threshold kuwa 100mil. miaka zaidi ya 20 tangu ianzishwe ni ujinga, thamani ya pesa imeshaku, hata machinga muuza maji anafikisha hii kwa mwaka, ilitakiwa walau 1bil. Mtu ukiuza 120mil. Kwa mwaka unaingizwa VAT uanze kulipa CPA akupelekee return kila mwezi, yaani ukipata 10% profit ni wastani wa 1mil. Kwa mwezi, sas akwa hii pesa ukipe pango, kodi zote na bado umlioe CPA kweli?! Inawezekana hii?!
 
Wengi wao hawa hawajawahi hata kufanya biashara ya kuuza vitumbua ndio maana utaona wanapitisha kodi na sheria za kijinga.
 
Hapa Kuna siasa ila Serikali ikiendelea kufanya mzaha wa kuwabembeleza watayumbisha sana..

Sio tuu huko Kariakoo,kokote kule wafanyabiashara Huwa Hawataki kutoa risiti na kama ndio hivi wanavyobembelezwa Serikali ijiandae Kwa mapato kiduchu..

Sio sawa ku sucrifice maslahi ya Nchi Kwa maslahi ya Kisiasa..

Natamani washughulikiwe,ni heri kuingia hasara ila nidhamu ije..

Museveni Huwa hana mda wa kuhangaika na wanaoandamana anawaachia ila wakizidi wanakula Cha moto then wanakacha wenyewe..

Hao wasipofungua maduka kwani watakula wapi?

Ukweli ni kwamba Wafanyakazi Huwa hawatoi risiti Halali,pamoja na Changamoto ila niwakwepa Kodi wakubwa.
Ni kweli nimeshuhudia, Kuna kitu wanakuambia tunakupa risiti ya njiani

Kodi hazilipwi
 
Hapa Kuna siasa ila Serikali ikiendelea kufanya mzaha wa kuwabembeleza watayumbisha sana..

Sio tuu huko Kariakoo,kokote kule wafanyabiashara Huwa Hawataki kutoa risiti na kama ndio hivi wanavyobembelezwa Serikali ijiandae Kwa mapato kiduchu..

Sio sawa ku sucrifice maslahi ya Nchi Kwa maslahi ya Kisiasa..

Natamani washughulikiwe,ni heri kuingia hasara ila nidhamu ije..

Museveni Huwa hana mda wa kuhangaika na wanaoandamana anawaachia ila wakizidi wanakula Cha moto then wanakacha wenyewe..

Hao wasipofungua maduka kwani watakula wapi?

Ukweli ni kwamba Wafanyakazi Huwa hawatoi risiti Halali,pamoja na Changamoto ila niwakwepa Kodi wakubwa.
Kodi iwe rafiki. Sasa unalipa Kodi mpaka mtaji unayumba, hiyo ni biashara gani? Serikali ipunguze au kuondoa mlolongo wa kodi juu ya kodi kama wana nia ya kukusanya mapato.
Kodi za ajabu ajabu, halafu zinaishia kuwalipa wanasiasa tu!
 
Back
Top Bottom