Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa unafiki wako hapa,, mgomo tumekubaliana wafanyabiashara wote!!?Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.
Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.
Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu wanafanyiwa fujo, jana kuna watu walikua wanazunguka kuangalia aliyefungua na wakikuta umefungua wanakutisha kubeba hata mali yako kwahyo hawa wenye maduka wengi wanashinikizwa na wakubwa.
Nilikuwepo hapo nimeona, watu walianza kufungua maduka saa 4 asubui kuna watu wakawa wanakuja kuwatisha wafunge.
Maoni yangu sio kwamba nakubaliana na TRA wanachokifanya ila nimesema kile kinachoendelea hapo Kariakoo.
Na ndicho nilichokiandika jana kuna watu walikua wanakuja kutisha watu nilikuwepo luanzia saa 12 asubui kkooMigomo ya hivi,
Ukijifanya kichwa ngumu unapotezwa kwny game.
Maana bidhaa nyng hapa k'koo karibu kila sekta madon wake wakubwa hawazidi 5, hao wanaheshimika sana, Wana influence kubw kwny mzunguko, serikali na chama.
Hao wakiungana, wanaamua Jambo lao kwa mustakabali mzima wa k'koo yote na sisi wauzaji wadogo wa chini tuuzeje na tupate faida kias gani.
Ukikaza fuvu lako, ukajifanya mzalendo uchwara, Unatengwa na kufanyiwa figisu kibao ili upotee kbs kwny biashara.
Hebu Ni nambie,
Ni Nani mwny guts za kukaza fuvu ili wanae wasiende chooni? Jibu Ni HAYUPO.
TUNAKOMAA WOTE HADI KIELEWEKE[emoji106]
Mjinga ww haupo kkoo mimi nipo hapo kkoo nimejionea yote na jana watu walifungua saa 4 asubui wakaanza kutishwa fungeni na ukikaza unafanyiwa fujo lwahyo watu wanaogopa kufungua kwasababu ya kubebewa mali zao tu ila mgomo ni wa wakubwa wenye mastooHatufungui bhnaa, hakuna cha nini wala nini, miaka yote tushawashauri TRA hawasikii
Acha upumbavu wa kutetea udhalimu. Sio lazima kila mtu agome ndio tuone kwamba kuna tatizo. Matatizo yapo mengi tu na sio wafanyabiashara tu kila mtu angepaswa kugoma. Au wewe ni afisa wa TRA nini?Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.
Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.
Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu wanafanyiwa fujo, jana kuna watu walikua wanazunguka kuangalia aliyefungua na wakikuta umefungua wanakutisha kubeba hata mali yako kwahyo hawa wenye maduka wengi wanashinikizwa na wakubwa.
Nilikuwepo hapo nimeona, watu walianza kufungua maduka saa 4 asubui kuna watu wakawa wanakuja kuwatisha wafunge.
Maoni yangu sio kwamba nakubaliana na TRA wanachokifanya ila nimesema kile kinachoendelea hapo Kariakoo.
Ww mpumbavu mimi sio mwalimu na nipo kkoo. Nilichokisema ndo uhalisia wafanya biashara wengi hapo kkoo wanachukua mali kwa matajiri hao wamiliki wa stoo kubwa sasa wanaohamasisha mgomo tena kibabe ni hao madon wa stoo.Wewe endelea kupokea mshahara wako wa tgsb achana na wafanyabiashara, mimi nipo kkoo kwa zaidi ya 10yrs nishapitia mengi hata usiyowahi kuyafikiria kuwa yanatokea kkoo, ww jifanye mjuaji watu wakufurahishe, kwa taarifa yako biashara zote duniani zinaongozwa na cartels na huwezi fanya lolote.
Ndo kunachofanyika na wengi wanapewa mali wauze ndo wanapeleka pesa, kuna matajiri wa ma stoo mengi hao ndo wameishikilia kkoo na wana maamuzi kama haya na kushinikiza watu kibabe wagomeInawezekana hao wanafanya biashara wadogo wananunua mzigo kwa hao wakubwa.
Ww ndo upo kkoo na umeona kila kitu na ndio lengo la uzi huu ila kuna wajinga hata kkoo huwenda wana miezi hawajafika ila wanakuja kubisha hapa.Bongo kwenye maslahi hatuna hata ushikamano, kudai haki waoga hatuwezi kufanya hata maandamano...
Yap niliona kuna wehu vichwa maji walijidai wana hasira na hela, wakapuuza agizo wakafungua maduka.
Huo sio uungwana hata kidogo kufurahia mwingine kuumia kwasababu wewe upamde wako hauna madhara.
Yale mabaunsa yali play part vizuri sana hakuna muuza duka ambaye alifungua duka halafu mabaunsa wakapita na duka likawa wazi.
Ww mpumbavu nimetetea wapi ? Mimi nimetoa taarifa ya kinachoendelea kkoo na nilichokiona.Acha upumbavu wa kutetea udhalimu. Sio lazima kila mtu agome ndio tuone kwamba kuna tatizo. Matatizo yapo mengi tu na sio wafanyabiashara tu kila mtu angepaswa kugoma. Au wewe ni afisa wa TRA nini?
Nimeelewa nini mkuu? Kama unauza pipi na Big G kariakoo its up to you, ila mimi wateja wangu wengi ni hao wa Congo, Zambia, Malawi etc, hivyo huu Mgomo kiasi fulani unanihusu, sio siri hawa wageni wengi wanasumbuliwa na Tra/Polisi na maafisa wengine, imefika stage hawataki hata mizigo yao ilale kwa ma Transporter sababu wanajua Anytime jamaa watatinga kuomba Rushwa.Umeelewa kweli?
Kama kuna tatizo kugoma ni haki yao. Na hao wadogo wanapaswa kusapoti maana wanawategemea hao wakubwa.Ndo kunachofanyika na wengi wanapewa mali wauze ndo wanapeleka pesa, kuna matajiri wa ma stoo mengi hao ndo wameishikilia kkoo na wana maamuzi kama haya na kushinikiza watu kibabe wagome
Nilichosema mimi si support kinachofanywa na TRA ila nilichokisema hapa ni kwamba wengi wanaogopa kufungua kwa kutishwa na mgomo unashinikizwa zaidi na matajiri wa kubwa hapo kkoo.Nimeelewa nini mkuu? Kama unauza pipi na Big G kariakoo its up to you, ila mimi wateja wangu wengi ni hao wa Congo, Zambia, Malawi etc, hivyo huu Mgomo kiasi fulani unanihusu, sio siri hawa wageni wengi wanasumbuliwa na Tra/Polisi na maafisa wengine, imefika stage hawataki hata mizigo yao ilale kwa ma Transporter sababu wanajua Anytime jamaa watatinga kuomba Rushwa.
Mimi si Mfanyabiashara mkubwa.
Tatizo unaforce matatizo yote ni ya wafanyabiashara wakubwa, hakuna wafanyabiashara wakubwa ambao walitaka kufungua na wadogo wakawa wamefunga?Nilichosema mimi si support kinachofanywa na TRA ila nilichokisema hapa ni kwamba wengi wanaogopa kufungua kwa kutishwa na mgomo unashinikizwa zaidi na matajiri wa kubwa hapo kkoo.
Sasa hayo yametoka wapi? Jifunze kuheshimu watu usiowafahamu
Nlikuwa nakusoma kwenye kupiga miti michepuko tu!Migomo ya hivi,