Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

Ww mpumbavu nimetetea wapi ? Mimi nimetoa taarifa ya kinachoendelea kkoo na nilichokiona.

Choko ww
Tusiwauwe moyo watanzania wanaotetea upatikanaji wa huduma nzuri. Tanzania tumeaminishwa kuwa kuandamana au kugoma ni kosa ndio maana huduma za serikali ni mbovu. Magufuli aliwaharibu watanzania sana.
 
Mjinga ww haupo kkoo mimi nipo hapo kkoo nimejionea yote na jana watu walifungua saa 4 asubui wakaanza kutishwa fungeni na ukikaza unafanyiwa fujo lwahyo watu wanaogopa kufungua kwasababu ya kubebewa mali zao tu ila mgomo ni wa wakubwa wenye mastoo
Sasa ujinga wangu ni upi, kusema sifungui biashara yangu nimekuwa mjinga?
 
Nimeelewa nini mkuu? Kama unauza pipi na Big G kariakoo its up to you, ila mimi wateja wangu wengi ni hao wa Congo, Zambia, Malawi etc, hivyo huu Mgomo kiasi fulani unanihusu, sio siri hawa wageni wengi wanasumbuliwa na Tra/Polisi na maafisa wengine, imefika stage hawataki hata mizigo yao ilale kwa ma Transporter sababu wanajua Anytime jamaa watatinga kuomba Rushwa.

Mimi si Mfanyabiashara mkubwa.
Mzigo ukikamatwa Mkongo hawez kukuelewa anatafuta mtu mwngn anaanza kufanya nae kazi!
 
Magodfather wa hapo kkoo govt inawajua, huku chini watu wanatafuta ugali, siyo kwamba wengi wanapenda kufunga Bali Huwa inatokea tu huna jinsi, kupotea kwenye biashara ni dakika sifuri tu kama hutofuata chain iliyowekwa na cartels za kkoo, govt Huwa inaudhi sana.
 
Naomba kujuzwa tu huu mgomo una faida Gani kwa wafanya biashara?

Maana Kodi washakadiriwa na Bei za pango wanalipa kama kawaida?
Lengo na mgomo ni kupunguza unyanyasaji TRA wala sio kulalamika makadirio. Umeambiwa tra kila Mara wamekua wakiwapiga faini kubwa bila sababu
TRA anakamata mzigo anapewa risiti alafu bado wanasema risiti Ina bei ndogo kuliko mzigo.
 
Mjinga ww haupo kkoo mimi nipo hapo kkoo nimejionea yote na jana watu walifungua saa 4 asubui wakaanza kutishwa fungeni na ukikaza unafanyiwa fujo lwahyo watu wanaogopa kufungua kwasababu ya kubebewa mali zao tu ila mgomo ni wa wakubwa wenye mastoo
Wewe sio mfanyabiashara, wewe ni winga au wale wafanyakazi wa maduka
Nyie Kodi haiwahusu maana hamna biashara
 
Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.

Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.

Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu wanafanyiwa fujo, jana kuna watu walikua wanazunguka kuangalia aliyefungua na wakikuta umefungua wanakutisha kubeba hata mali yako kwahyo hawa wenye maduka wengi wanashinikizwa na wakubwa.

Nilikuwepo hapo nimeona, watu walianza kufungua maduka saa 4 asubui kuna watu wakawa wanakuja kuwatisha wafunge.

Maoni yangu sio kwamba nakubaliana na TRA wanachokifanya ila nimesema kile kinachoendelea hapo Kariakoo.
Silent Ocean ameanza kuonyesha Makucha yake sasa....
Mambo ya Home Shopping Center hayo.
 
Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.

Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.

Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu wanafanyiwa fujo, jana kuna watu walikua wanazunguka kuangalia aliyefungua na wakikuta umefungua wanakutisha kubeba hata mali yako kwahyo hawa wenye maduka wengi wanashinikizwa na wakubwa.

Nilikuwepo hapo nimeona, watu walianza kufungua maduka saa 4 asubui kuna watu wakawa wanakuja kuwatisha wafunge.

Maoni yangu sio kwamba nakubaliana na TRA wanachokifanya ila nimesema kile kinachoendelea hapo Kariakoo.
Hebu nikuulize na wewe mchunguzi wa Kariakoo. Mfanyabiashara anapotoa mzigo China/Uturuki ukafika bandarini huwa umelipiwa Kodi au haulipiwi? Kama unalipiwa unakwendaje tena kuorodhesha store items ambazo ulizitoza Kodi bandarini na kuzipangia Kodi upya? Kama kuna bidhaa zinaingozwa bila kulipiwa Kodi linabaki kosa la Nani kama siyo TRA na vyombo vya Dola waliopaswa kudhibiti magendo?
 
Ukiniuliza mimi nasema ni shinikizo la wanaharakati wanaotafuta mitaji ya Ajenda zao.

Ukifuatilia vizuri, utasikia na kuona ni jinsi gani Viongozi na hata Wanaharakati wa CHADEMA jinsi walivyoteka suala hili na kulifanya la Kisiasa.

Kwa maoni yangu, ni suala la Kisiasa zaidi kuliko Biashara.
Wewe ni upungufu wa akili unaokusumbua. Nionyeshe mfanyabiashara wa CHADEMA au kiongozi yeyote wa CHADEMA aliyekwenda Kariakoo!
 
Ww mpumbavu mimi sio mwalimu na nipo kkoo. Nilichokisema ndo uhalisia wafanya biashara wengi hapo kkoo wanachukua mali kwa matajiri hao wamiliki wa stoo kubwa sasa wanaohamasisha mgomo tena kibabe ni hao madon wa stoo.

Jana saa 4 wafanyabiashara walianza kufungua maduka saa 4 asubui na nilikuwepo kkoo toka asubui, walipoanza kufungua kuna watu wakaanza kuja kuwatisha fungeni na ukikaza unafanyiwa fujo unaweza kupoteza mali ukikaza kwahyo wengi wanafunga kwa uoga na sio kwamba kwasababu ya mgomo.
Wewe ni ng"ombe mmoja usiyejua chochote hebu nitajie mkali anayelisha jeans na viatu vya kike nione kama kweli upo kkoo
 
Wewe ni ng"ombe mmoja usiyejua chochote hebu nitajie mkali anayelisha jeans na viatu vya kike nione kama kweli upo kkoo
Hawezi kutaja uyo,
Hata mtaa lazima akaulize Kwanza
Usikute unabishana na mtu kumbe Yuko mkoani uko tandahimba ndani ndani uko.

Kuja dar mpk msimu wa mavuno ya korosho[emoji1]
 
Hii ishu iko controversial sana... hapo kuna maslahi ya wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa nchi hii. Kwa upande wangu nadhani wakubwa wakutane na kukubaliana mambo yao ili biashara ziendele. Wakubwa wengi wana biashara zao hapo. TRA haina neno endapo wakubwa watakubaliana.
 
Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma.

Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike.

Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu wanafanyiwa fujo, jana kuna watu walikua wanazunguka kuangalia aliyefungua na wakikuta umefungua wanakutisha kubeba hata mali yako kwahyo hawa wenye maduka wengi wanashinikizwa na wakubwa.

Nilikuwepo hapo nimeona, watu walianza kufungua maduka saa 4 asubui kuna watu wakawa wanakuja kuwatisha wafunge.

Maoni yangu sio kwamba nakubaliana na TRA wanachokifanya ila nimesema kile kinachoendelea hapo Kariakoo.
naamini kila upande una mazuri na mabaya wake, upande wa madon wanafanya mazuri na mabaya yao yapo kukwepa kodi ili wapate faida kubwa, upande wa serikali na TRA nao wana mazur yao na mabaya yao kibaooo kwa hiyo ni vizuri sana hizi pande mbili zikae chini zielewane. achana na hao dagaa wanaotaka kufungua ili wauze mzigo wa madon zao maana hali ni tete
 
Back
Top Bottom