babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mali kauli, unaenda unapewa mzigo wa kiasi kadhaa ukauze, ukibaki rudisha ulichouza unalipa kwa don unachukua posho yako.Inawezekana hao wanafanya biashara wadogo wananunua mzigo kwa hao wakubwa.
Sasa wakitokea hao washenzi wakakukamata wakupige fine au rushwa ina maana unatoka kapa.
Sasa nani akubali kufanya kazi bure