Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

Sasa tunaweka picha vitu vipo kariakoo unadhani inakuwaje hapo?
Apo inabidi kuderiver picha na kimemo Cha samahani mzigo unatumwa sio MDA mrefu[emoji38]
 
  • Thanks
Reactions: Luv
"...mmeshindwa kupata vyanzo vipya vya Kodi mmebaki kufikiria kuwagandamiza wafanyabiashara,.. au kisa nyie mmeajiliwa??? Acheni *********
 
We mwalimu lia lia tulia uusiingilie mambo yasio kuhusu kwahyo kama na mzigo store natakiwa kulipia mizigo ya store na pia mteja akija dukani alipie kodi na akitoka apo akamatwe aombwe rushwa si ndio unaona sawa .... ebu tuachie sigara subili laki sita zako mwisho wa mwezi ulale [emoji35][emoji35]
Mbona povu kulikoni!??
 
Futa hedhi wewe kabla ya kupanua domo lako.

Kwa mantiki hiyo unasema CHADEMA hawahusiki na Biashara za Kariakoo, manake ndicho unachokipinga, au kwa lugha nyingine, unapinga kwa sababu nimesema CHADEMA ni Wafanyabiashara Kariakoo?
Kuna tatizo hapo

Kusema 'maoni yangu' ni ya kipumbavu haina maana yeyote ile, zaidi ya wewe kutaka kunifedhehesha. Utashindwa tu

Umemsikia Lissu akigusia suala hili? rejea bandiko langu. Umewasikia wabunge bungeni wakiyasema haya? rejea bandiko langu. Umemsoma ERYTHROCYTE CHADEMA wa kindakindaki hapa Jamvini akigusia haya? again, rejea bandiko langu au Ukome kuja na hedhi zako na chupi mkononi, isitoshe unaonyesha hujui hata maana ya "maoni yangu"

CHADEMA kutotoa tamko lelote haufanyi suala hili kutokuwa na chemichemi za Kisiasa. Hatahivyo, kwa jinsi ulivyojitokeza na madai yako, na nitarudia, Kwa maoni yangu ni sawa na kabaha anayepayuka hadharani kwa hasira huku akiwa ameshika chupi mkononi yenye alama za hedhi na mitiririko mapajani kuwa huku akimaka na sauti kubwa kuwa nimekimbia tendo la ndoa! Osha mdomo wako.
Umeandika ushuzi mtupu.
 
We mwalimu lia lia tulia uusiingilie mambo yasio kuhusu kwahyo kama na mzigo store natakiwa kulipia mizigo ya store na pia mteja akija dukani alipie kodi na akitoka apo akamatwe aombwe rushwa si ndio unaona sawa .... ebu tuachie sigara subili laki sita zako mwisho wa mwezi ulale [emoji35][emoji35]
Michezo ya biashara za kariakoo inajulikana!!kulingana na afisa wa TRA,ni kuwa mtu anaagiza mzigo contena kadhaa,na ana duka kariakoo,cha ajabu mauzo yake hayalingani na mzigo anaouingiza je mizigo mingine hupotelea wapi?!!kwani kinachofanyika mizigo mingine huwapa wamachinga na kuiuza,bila kutoa risiti za EFD.
Jingine kama bandarini umelipa kodi isiyostahili kulingana na thamani ya mzigo wako,kupitia record za store na mauzo yako inakuwa rahisi kugundua hilo.au bidhaa za magendo.
Wafanyabishara wakubwa wanajua nini kinaenda kutokea ndio maana wamekuja juu!!hilo la EFD lina miaka mingapi toka limeanza?
Serikali kwa hili isirudi nyuma kamwe,waache siasa,ambaye hawezi afunge tu biashara
 
Naomba kujuzwa tu huu mgomo una faida Gani kwa wafanya biashara?

Maana Kodi washakadiriwa na Bei za pango wanalipa kama kawaida?
Ni kuwa hiyo sheria ya kusajiri wa store ikiachwa kufuatwa,wataendelea kukwepa kodi na kuzidi kupata faida mala dufu.Sababu kubwa ni stores zao kutambuliwa na zisajiriwe na kufanyiwa ukaguzi,ndicho hawataki.
.
 
Wewe unafikiri siku wananchi tukisema tuandamane kupinga kupanda kwa bei za vyakula hamna wanafiki watakaokaa nyumbani kujifanya haiwahusu? Na huu ndo tunaita unafiki, Wakati mwingine ukiona 90% imeunga mkono jambo basi ninyi 10% mnapaswa kutumia tu busara kuungana na wenzenu kwa ili kuleta picha ya ushirikiano maana hata iweje 90% itasikilizwa tu "Wengi wape". Hata mimi simpendi mnafiki.
 
Halafu hizo sheria zikija kwenye utekelezaji, wao wanawashawishi wafanyabiashara wadogo wagome, wakati huo wao wapo bungeni wanamuuliza Spika nini kinaendelea kule Kariakoo, huku PM akiwa amezungukwa na kundi kubwa la wafanyabiashara wadogo akiongea nao.
Umemaliza mkuu, Mimi sina Cha zaidi Cha ziada Cha kuongezea
 
Ni kuwa hiyo sheria ya kusajiri wa store ikiachwa kufuatwa,wataendelea kukwepa kodi na kuzidi kupata faida mala dufu.Sababu kubwa ni stores zao kutambuliwa na zisajiriwe na kufanyiwa ukaguzi,ndicho hawataki.
.
Sababu kuna wanazengo wametoboa Siri TRA kua jamàa wafanyabiashara wakubwa wenye hayo ma-store yao waliyoyaficha na hawataki yasajiriwe Wala yakaguliwe wanaiibia na kuikosesha Serikali mapato na kujitajirisha wenyewe,
 
Hao unaowaona wanapiga kelele ni njaa tu wanatumika tu,kuna matajiri wapo nyuma.Mtu anaingiza contena tano za bidhaa,na ana duka karikaoo,TRA,wakifuatillia hesabu zake za kodi,una kuta labda ni contena 2 tu ndio zimeingizwa kwenye mfumo waauzo wa EFD,hizo contena 3 ziko wapi?ndio utakuta wanawagawia machinga kuuza sehemu mbalimbali za jiji na wao hawatoi risiti za EFD.
Yaani kama serikali itarudi nyuma kwenye hili,ule msemo wa shamba la bibi utakuwa dhahili!!
 
Nyie wahuni store zenu lazima zisajiliwe tufike uchumi wa kati. Mengine mtaelewana na TRA kwenye vikao vyenu vya biashara.
 
We mwalimu lia lia tulia uusiingilie mambo yasio kuhusu kwahyo kama na mzigo store natakiwa kulipia mizigo ya store na pia mteja akija dukani alipie kodi na akitoka apo akamatwe aombwe rushwa si ndio unaona sawa .... ebu tuachie sigara subili laki sita zako mwisho wa mwezi ulale [emoji35][emoji35]
Ulikuwa na haja gani ya kuonyesha dharau kwa huyo mkuu?
 
Back
Top Bottom