Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

Sasa tunaweka picha vitu vipo kariakoo unadhani inakuwaje hapo?
Apo inabidi kuderiver picha na kimemo Cha samahani mzigo unatumwa sio MDA mrefu[emoji38]
 
Reactions: Luv
"...mmeshindwa kupata vyanzo vipya vya Kodi mmebaki kufikiria kuwagandamiza wafanyabiashara,.. au kisa nyie mmeajiliwa??? Acheni *********
 
Mbona povu kulikoni!??
 
Umeandika ushuzi mtupu.
 
Michezo ya biashara za kariakoo inajulikana!!kulingana na afisa wa TRA,ni kuwa mtu anaagiza mzigo contena kadhaa,na ana duka kariakoo,cha ajabu mauzo yake hayalingani na mzigo anaouingiza je mizigo mingine hupotelea wapi?!!kwani kinachofanyika mizigo mingine huwapa wamachinga na kuiuza,bila kutoa risiti za EFD.
Jingine kama bandarini umelipa kodi isiyostahili kulingana na thamani ya mzigo wako,kupitia record za store na mauzo yako inakuwa rahisi kugundua hilo.au bidhaa za magendo.
Wafanyabishara wakubwa wanajua nini kinaenda kutokea ndio maana wamekuja juu!!hilo la EFD lina miaka mingapi toka limeanza?
Serikali kwa hili isirudi nyuma kamwe,waache siasa,ambaye hawezi afunge tu biashara
 
Naomba kujuzwa tu huu mgomo una faida Gani kwa wafanya biashara?

Maana Kodi washakadiriwa na Bei za pango wanalipa kama kawaida?
Ni kuwa hiyo sheria ya kusajiri wa store ikiachwa kufuatwa,wataendelea kukwepa kodi na kuzidi kupata faida mala dufu.Sababu kubwa ni stores zao kutambuliwa na zisajiriwe na kufanyiwa ukaguzi,ndicho hawataki.
.
 
Wewe unafikiri siku wananchi tukisema tuandamane kupinga kupanda kwa bei za vyakula hamna wanafiki watakaokaa nyumbani kujifanya haiwahusu? Na huu ndo tunaita unafiki, Wakati mwingine ukiona 90% imeunga mkono jambo basi ninyi 10% mnapaswa kutumia tu busara kuungana na wenzenu kwa ili kuleta picha ya ushirikiano maana hata iweje 90% itasikilizwa tu "Wengi wape". Hata mimi simpendi mnafiki.
 
Umemaliza mkuu, Mimi sina Cha zaidi Cha ziada Cha kuongezea
 
Ni kuwa hiyo sheria ya kusajiri wa store ikiachwa kufuatwa,wataendelea kukwepa kodi na kuzidi kupata faida mala dufu.Sababu kubwa ni stores zao kutambuliwa na zisajiriwe na kufanyiwa ukaguzi,ndicho hawataki.
.
Sababu kuna wanazengo wametoboa Siri TRA kua jamàa wafanyabiashara wakubwa wenye hayo ma-store yao waliyoyaficha na hawataki yasajiriwe Wala yakaguliwe wanaiibia na kuikosesha Serikali mapato na kujitajirisha wenyewe,
 
Sababu kuna wanazengo wametoboa Siri TRA kua jamàa wafanyabiashara wakubwa wenye hayo ma-store yao waliyoyaficha na hawataki yasajiriwe Wala yakaguliwe wanaiibia na kuikosesha Serikali mapato na kujitajirisha wenyewe,
Hao unaowaona wanapiga kelele ni njaa tu wanatumika tu,kuna matajiri wapo nyuma.Mtu anaingiza contena tano za bidhaa,na ana duka karikaoo,TRA,wakifuatillia hesabu zake za kodi,una kuta labda ni contena 2 tu ndio zimeingizwa kwenye mfumo waauzo wa EFD,hizo contena 3 ziko wapi?ndio utakuta wanawagawia machinga kuuza sehemu mbalimbali za jiji na wao hawatoi risiti za EFD.
Yaani kama serikali itarudi nyuma kwenye hili,ule msemo wa shamba la bibi utakuwa dhahili!!
 
Nyie wahuni store zenu lazima zisajiliwe tufike uchumi wa kati. Mengine mtaelewana na TRA kwenye vikao vyenu vya biashara.
 
Ulikuwa na haja gani ya kuonyesha dharau kwa huyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…