Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu.

Ametoa Agizo hilo Wakati akizungumza na watumishi wa Mkoa wa Geita Manispaa ya Geita kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha Kamati ya Fedha na Uchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ikilazimika kusimamisha shughuli za mwekezaji huyo aliyekuwa ameanza ujenzi wa mradi katika eneo la viwanja vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katoro huku akidaiwa kuingilia mipaka ya ardhi ya Serikali ya Kijiji hali iliyozua mvutano baina ya viongozi viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Geita na Mbunge wa Katoro Kija Ntemi na Joseph Kasheku Msukuma mbunge wa jimbo la Geita.

Taarifa ya nini sasa wakati ameshahukumu kuwa mwekezaji ni mbabe? Waziri anashindwa hata kujihakikishia kama kuna mkataba au laa? Tena yupo hapohapo Geita....

Kutoka Magogo zilizo ofisi za mkuu wa Mkoa na halmashauri ya mji hadi ofisi ya za Ccm ni mwendo wa dk 10, pia hadi zilizo mgogoro ni mwendo wa nusu saa lakini Waziri anabwabwaja tu.

Huyu hana uwezo wa kutatua mgogoro wowote, anafokafoka tu...akija kusikia kuwa mwekezaji ni Mwigulu au Wasira ataanza kunywea kama tahira.
 
Nimecheka sana
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu.

Ametoa Agizo hilo Wakati akizungumza na watumishi wa Mkoa wa Geita Manispaa ya Geita kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha Kamati ya Fedha na Uchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ikilazimika kusimamisha shughuli za mwekezaji huyo aliyekuwa ameanza ujenzi wa mradi katika eneo la viwanja vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katoro huku akidaiwa kuingilia mipaka ya ardhi ya Serikali ya Kijiji hali iliyozua mvutano baina ya viongozi viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Geita na Mbunge wa Katoro Kija Ntemi na Joseph Kasheku Msukuma mbunge wa jimbo la Geita.

Huyu Waziri ni mpumbavu
 
unapokua kiongozi tulitegemea kwanza uwe neutral uwape room wote ya kujieleza na zaid unasema kama hakuna mkataba je kama mkataba upo? Kwa maalezo haya tayar umechagua upande na umeshafanya maamuzi

My take; we pia hustahili hyo nafasi hutoshi Kwa kuwa haupo hapo kutafuta suluhu ila uko kutafuta umwamba
 
Sasa hilo eneo ni la serikali? Au la ccm? Au ccm na serikali ni kitu kimoja?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu.

Ametoa Agizo hilo Wakati akizungumza na watumishi wa Mkoa wa Geita Manispaa ya Geita kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha Kamati ya Fedha na Uchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ikilazimika kusimamisha shughuli za mwekezaji huyo aliyekuwa ameanza ujenzi wa mradi katika eneo la viwanja vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katoro huku akidaiwa kuingilia mipaka ya ardhi ya Serikali ya Kijiji hali iliyozua mvutano baina ya viongozi viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Geita na Mbunge wa Katoro Kija Ntemi na Joseph Kasheku Msukuma mbunge wa jimbo la Geita.

Huyu msambaa ni mjinga sana, unaingilia jambo na kuitisha press bila kujua ukweli wake. Alikuwa na haraka gani kama wala hajui kuna mkataba wa aina gani kwenye hiko eneo?
 
Back
Top Bottom