Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika
Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti
Mwanaume mjinga Sana.
Mwanaume Ana wajibu wa kutunza familia yake.
Mke wangu sijawahi kumuuliza mshahara wake.
Natoa pesa ya kila kitu na kukamilisha majukumu yote Kama baba.
Pesa yake Kama akiamua kuileta kwenye familia sawa. Akiamua kuwapa ndugu zake atajijua mwenyewe.
Lakini hatakiwi kuniuliza pesa ya kuhonga natoa wapi?
Na hatakiwi kujua mapato yangu yote. Hayamuhusu
Sio mbaya kwa nyumba yao wakachangia ila kulazimishana et achukue mkopo mkajengee wazazi wako ni non sense
Wewe ndo umekosea na umefanya jambo baya sana kumlazimisha mkeo pesa zake akajenga kwenu.Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika
Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti
Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana wazazi wake wanaishi nyumba ya kudumu ingawa ni ya zamani na
Hapana sio mke mbinafsi mkuu.Mwanaume wajengee wazazi wako, ukisha maliza anza msingi wa nyumba yenu, mshahara wa mwanamke haukuhusu kabisa.. kama ataamua kujenga kwao ni makosa yako kuoa mke mbinafsi
mahari ulilipa wewe hhamkulipa wote kuonesha kwamba cha mwanamke ni chake na cha mume(kwa mipaka) ni cha wote.inakuwaje hela ya mwanamke ni ya mwanamke ila ya wanaume ni ya woteee?
HujaelewaUnachukuaje pesa ya mwanamke na kwenda kujenga nyumbani kwenu?[emoji848]
Kesho akikudharau????
Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika
NdiyoYani Mme na Mke walipokopa wote ndio wakapata 25M??
Ndio matatizo ya kujifanya unampenda MTU kumbe unaharibu,sio kila kitu cha kumwambia Mwanamke.Sijui jamaa ako aliwaza nini kukubaliana na mkewe kuwa washirikiane kuwajengea wazazi wao.
Kuhusu kushirikiana kujenga nyumba yao si shida ila za wazazi jamaa aliyumba kinoma wala hakutakiwa kumahirikisha kuhusu yeye kuwajengea wazazi wake kafanya upuuzi hapo. Na kinachoonekana hawaaminiani hao watu.
Jamaa angejitutumua ajenge kwao na ikiwezekana asaidie na kujenga ukwenii dadadeki sio kulia lia ujengewe na mkeo.
Kwa mimi naamini majukumu yote ya nyumbani ni ya mume, mke anipe heshima na upendo nizidi kuzisaka asiponiheshimu sitasita kuachana nae.
Hiyo ndoa sijui kama haitadumu.
Kabla ya kuchukua mkopo walikubaliana wakichukua waanze kuwajengea wazazi wa mwanaume maana wanaishi kwenye nyumba za ajabu huko kijijini,baada ya kuchukua mwamke akachenji mara baada ya hela kuingia kwa account, akaanza kudai awajengee wazazi wake maana ndo walimsomeshaKwanza hii habari haina ukweli kuna mambo yamerukwa hapa.Mara wakajenge kwao mwanaume Mara wajenge kwa wakwe ,Mara wajenge nyumba yao.
Kweli MTU aliye ajiliwa anaanzaje kujenga ukweni kabla hajajenga nyumba yake-huku hiyo hela uliyokopa utakatwa zaidi ya miaka 2.
Yaah kabisa mkuu, sijui jamaa aliwaza nini, ina maana hakua na mpango wa kuwasaidia wazazi wake bila usaidizi kweli.??Ndio matatizo ya kujifanya unampenda MTU kumbe unaharibu,sio kila kitu cha kumwambia Mwanamke.
Wanawake 99% ni wabinafsi tofauti kabisa na wanaume,hawezi kukubali umjengee mzazi wako kabla ya wa kwake.
Samahani kama nitakuwa nimevuka mstari, kwa maoni yako, ni wazi hauko kwenye taasisi hii ya ndoa na huielewi vizuri inapoanzia na inapoishia.mahari ulilipa wewe hhamkulipa wote kuonesha kwamba cha mwanamke ni chake na cha mume(kwa mipaka) ni cha wote.
Mkuu sio DINI WALA sheria za nchi hizi zote zimempa mume wajibu wa kumgharamia mkewe na watoto.
Ndio maana mume ukienda kulalamika serikalini kwamba mkeo halishi familia utaonekana mpuuzi tu.
Mume ndio mwenye majukumu katika ndoa,hiyo ndio asili mzee,msiwatwishe wanawake mizigo isiyowahusu