Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

Aya Mambo ndiyo yalisababisha nikaachana na kuoa hawa wanaojiita wasomi.

Nilimuoa KIROHO SAFI mama watoto wangu na form iv division zero yake[emoji2]

Enzi hizo Kalikua Ni kafrend kangu afu ni kadenti kanasoma, Nilikafanyia screening tangu kakiwa form 2 nikaona kabisa kanafaa kua wife material.

ilikua Ni furaha iliyoje matokeo yalivyotoka na ikaonekana kamefeli division ZERO, Niliapproach nikakubaliwa nikavuta jiko fasta bila kupepesa.

Nilijivutia mke Safi, beautiful,bikra na aliyelelewa maadili mema.

Namshkuru mungu maisha yanasonga, hata walionibeza kwasasa tunaheshimiana.

Mwanaume ukibahatika kuoa mwanamke ambaye hajapitia mahusiano mengi na kutinduliwa huku na kule Kuna unafuu wake bwana[emoji4].

Na kupitia hili nmegundua Kuna tofauti KUBWA
-Kati ya KUSOMA na KUELIMIKA
-kua na akili ya DARASAN na akili ya maisha.

Namshkuru mungu,
Kwenye familia yangu always Mimi ndio KING na wife anajitambua kua yeye Ni QUEEN.

Kwa kinachoendelea kwenye familia ya mtoa Mada,
Nyumba Ina KINGS WAWILI, kila Mtu ana sharubu.
Lazima moto uwake.

Kupitia hili,
Wanawake na Wanaume wasomi wote mnapaswa mjitafakari sana.
 
Kabla ya kuchukua mkopo walikubaliana wakichukua waanze kuwajengea wazazi wa mwanaume maana wanaishi kwenye nyumba za ajabu huko kijijini,baada ya kuchukua mwamke akachenji mara baada ya hela kuingia kwa account, akaanza kudai awajengee wazazi wake maana ndo walimsomesha

Na utaanzaje kujenga nyumba yenu na wazazi wanalala kwenye makuti huko kijijini na nyie mmepanga mjini mnaishi angalau nyumba nzuri?

Sasa kama kila mmoja kakopa milioni 25 si kila mtu awajengee wazazi wake? Kwa nyumba ya kawaida (na assume wazazi wanaishi kijijini) mbona milioni 25 zinatosha kabisa kuwasimamishia nyumba nzuri tu kwa kutumia tofali za kuchoma na bati za kawaida? Au ni nyumba za aina gani mnataka kujenga huko vijijini?
 
Mke ana point. Kila mtu awajibike kwa wazazi wake. Binafsi wala siwezi mwomba mume wangu ajengee wazazi wangu.Ugomvi mwingine wakujitakia.
Sasa hela alichukua yanini kama wote wamekopa?
 
Sasa kama kila mmoja kakopa milioni 25 si kila mtu awajengee wazazi wake? Kwa nyumba ya kawaida (na assume wazazi wanaishi kijijini) mbona milioni 25 zinatosha kabisa kuwasimamishia nyumba nzuri tu kwa kutumia tofali za kuchoma na bati za kawaida? Au ni nyumba za aina gani mnataka kujenga huko vijijini?
Wamekopa halafu hela jamaa kaingiza kwenye account ya mwanamke wake wakakubaliana waanze kujenga kwa mwanaume! Mke kachomoa betrii 😅😅😅
 
Aya Mambo ndiyo yalisababisha nikamuoa KIROHO SAFI mama watoto wangu form iv division zero[emoji2]

Enzi hizo Kalikua Ni kadem kangu afu ni kadenti kanasoma,
ilikua Ni furaha iliyoje matokeo yalivyotoka na ikaonekana kamefeli.

Nilijivutia mke Safi, beautiful,bikra na aliyelelewa maadili mema.

Namshkuru mungu maisha yanasonga, hata walionibeza kwasasa tunaheshimiana.

Na kupitia hili nmegundua Kuna tofauti KUBWA
-Kati ya KUSOMA na KUELIMIKA
-kua na akili ya DARASAN na akili ya maisha.

Kupitia hili,
Wanawake na Wanaume wasomi wote mnapaswa mjitafakari sana
Hongera sana mangi kwa kupata mke safi kabisa! Wana uvumilivu sana hawa waliokulia kwenye maadili na wana hofu ya kufanya mambo ya ajabu ajabu!
 
Kwa macho ya kawaida siyo kosa, ila ukishaingia kwenye ndoa na bahati mbaya mmoja akawa mbinafsi basi KIPATO KULINGANA inakuwa kosa. Imagine mume angekuwa na kipato Mara tatu zaidi ya mke wake, ni wazi kwamba mwanamke angekubaliana na mpango wa kuwajengea wote kirahisi sana ila kwakuwa anajua wote wako sawa so Kila mtu anaamua anachotaka[emoji847]
Hao ndio wanawake naopingana nao! Jamani tuwe makini sana na hawa wanawake zetu tunaotaka kuwaoa, mwanamke ambaye akiona hela anawehuka ni wa kuwa nae makini sana! Kipimo mnyime hela siku moja mwambie sina uone reaction yake 😅😅😅 akileta uchizi jua huyo chizi hela atakutesa sana mbeleni!
 
Mwanaume wajengee wazazi wako, ukisha maliza anza msingi wa nyumba yenu, mshahara wa mwanamke haukuhusu kabisa.. kama ataamua kujenga kwao ni makosa yako kuoa mke mbinafsi
Hahahahah ni uzembe kabisa yani 😅😅😅 unaoaje janamke choyo namna hio! Huyo mwanamke hata ndugu zako lazma wakija awatese tu hapo!
 
Kabla ya kuchukua mkopo walikubaliana wakichukua waanze kuwajengea wazazi wa mwanaume maana wanaishi kwenye nyumba za ajabu huko kijijini,baada ya kuchukua mwamke akachenji mara baada ya hela kuingia kwa account, akaanza kudai awajengee wazazi wake maana ndo walimsomesha

Na utaanzaje kujenga nyumba yenu na wazazi wanalala kwenye makuti huko kijijini na nyie mmepanga mjini mnaishi angalau nyumba nzuri?
Heheheheh alie breach contract ni huyo maraya carey!
 
mahari ulilipa wewe hhamkulipa wote kuonesha kwamba cha mwanamke ni chake na cha mume(kwa mipaka) ni cha wote.

Mkuu sio DINI WALA sheria za nchi hizi zote zimempa mume wajibu wa kumgharamia mkewe na watoto.

Ndio maana mume ukienda kulalamika serikalini kwamba mkeo halishi familia utaonekana mpuuzi tu.

Mume ndio mwenye majukumu katika ndoa,hiyo ndio asili mzee,msiwatwishe wanawake mizigo isiyowahusu
Arudishe basi sehemu ya mkopo wa mume ratiba ziendelee kama kawaida! Na mwanaume akianza kumtow.mber nje maswali hayaitajiki yeye atulie alishwe na kulipiwa kodi kima huyo!
 
Hawa akina hawa ni mwanaume kujiongeza. Kama mwanaume usidiriki kuchukua hela ya mkeo kujenga nyumba mnayoishi hasa kama una uhakika utaweza kumaliza ujenzi. Kisirani kikimwingia mlipojenga pamoja mkuu atajiona mjemgo ni mali yake iwe ndugu zake au famila yake atakuwa na uhuru kuja kuishi hapo bila ridhaa yako.jiulize kwa nini inapotokea baba mkwe akitoa zawadi hata ya kiwanja wanaume waelewa hawakubali kujenga pale nyumba ya familia?
 
Kwa hiyo jamaa afanyeje,avunje ndoa kila mtu afanye yake? Unamshaurije
Jamaa adai sehem ya mkopo mwanamke ampe halafu kila mtu afanye analoona ni sahihi! Maisha yataendelea tu no matter what kama atajenga kwao ajenge na mume ajenge kwao as well!

Kwa hilo tu lingetosha mie kum disqualify huyo mke na ningeendeleza maisha kama nipo single mpaka abebe mabegi aondoke zake! Wala sihitaji la muazini wala mnadi swala 😅😅😅 siwezi kuwa na mke tapeli! Nagonga zangu nyapu nje nikija nalala zangu tu simsemeshi. Siku akifungua bakuli tu namwambia achukue time wala simuhitaji tena hapo kwangu!
 
Hawa akina hawa ni mwanaume kujiongeza. Kama mwanaume usidiriki kuchukua hela ya mkeo kujenga nyumba mnayoishi hasa kama una uhakika utaweza kumaliza ujenzi. Kisirani kikimwingia mlipojenga pamoja mkuu atajiona mjemgo ni mali yake iwe ndugu zake au famila yake atakuwa na uhuru kuja kuishi hapo bila ridhaa yako.jiulize kwa nini inapotokea baba mkwe akitoa zawadi hata ya kiwanja wanaume waelewa hawakubali kujenga pale nyumba ya familia?
Unauza tu kiwanja hicho unanua pengine! Ambako mmiliki halisi ni wewe, hawa wanawake zetu unatakiwa ufanye mambo yako haraka haraka tu kabla hata hamjaoana akija aje na mabegi yake tu hata siku ukianza kumchapa matukio anakuwa hana say!
 
Mke ana point. Kila mtu awajibike kwa wazazi wake. Binafsi wala siwezi mwomba mume wangu ajengee wazazi wangu.Ugomvi mwingine wakujitakia.
Sasa kama huna kazi mwanamke je, ungefanyaje , mbona kama empty headed mucus
 
Je na kama ukigundua hela yake anamhonga ex wake wa chuoni unafanyaje?
Heheheh gunia 3 za mkaa moja kwa moja😅...,jokes aside hawa wanawake bana unaweza kuta hiko kiburi kuna mtu huko nje anamtia bichwa yani! As simple as it is wanawake flani wakipata ahueni ya maisha huwa wanajisahau kirahisi sana yani
 
Uyo mwanamke Ni mpumbavu.

Hapo jamaa alifeli Sana Kwenye scouting kabla hajaoa, na bila shaka Kuna mengi nyuma ya pazia hatuyajui khs iyo Ndoa yamefichwa.

Huo ujasiri wa mwanamke Sio wa kawaida,
Uyo mwanamke ndo type ZILe Hachelewi kukutoa roho UKISHAFANIKIWA Kiuchumi.
Eeh na wanakuwaga na ule wivu wa kicenge 😅 sana! Ukisema unamuacha anakuvalia kisasi cha ajabu! Jamaa ameshakosea kuoa point 3 za ndoa kashazikosea!
 
Aya Mambo vijana wanaoa mwanamke ili mgawane kipato ni kufeli kifikra.

Sio eti unaoa kwa kuangalia vyeti au ana KAZI gani.

Kwa WAKATI tulionao Sasa,
Tafuta mwanamke aliyejitunza, mwenye maadili mema, mrembo na anayejitambua.

Afu mpe pesa zako ilulizotafuta kwa jasho lako azisimamie, Kisha Ndio umpangie wewe matumizi.

Kamwe kwenye Ndoa hamuwezi kubishana KIPUUZ NAMNA HII maana anajua Kwenye familia, Mila, desturi na maadili yetu waafrika wewe ni Nani kwake.

Suala la Mwanaume kuanza kupangia matumizi pesa za mkeo alizozitafuta kwa mgongo wa jasho la wazazi wake (wakwe zako) .

Ni kukiuka miiko,Mila na desturi zetu waafrica.

Huu uzungu uzungu vijana wanaouendekeza ndio chanzo Cha matatizo yote haya.

Kiukweli,
Inasikitisha Sana[emoji22]
Balaa zito sana
 
Back
Top Bottom