Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.

Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu kwa kusaidia hao Watanzania na ndio maana media zao zinatangaza sana.

Kwa kifupi hapa wao wanaonekane wako vizuri kidiplomasia huku Sisi tunaonekane hatuna viongozi wenye uchungu na wananchi wao.

Tatizo ni huku kwetu Tanzania tunashindwaje kushughulika na kundi Dogo la watu hivi? Viongozi na Wasomi wa Nchi hii tunafeli wapi?

Kila jamii huwa inakuwa na Wana inayowasikiliza na kuwaamini ni Kama CHADEMA wakiwa na vuguvugu ukichukua Mbowe ,Lissu na Mnyika ukaongea nao wakitoka wakatoa kauli hakuna mwanachama ataendeleza vuguvugu, je tumeshindwa kuwatambua watu kama hawa na kukaa nao katika mazungumzo?

Kwa maana rahisi tumeshindwa kimfumo au kuna kitu kinatusukuma kuwa hamisha hao watu na ndio maana tumekosa sababu za Maana za kuwa hamisha .

Lakini pia imeonyesha wazi Viongozi wetu, Wasomi wetu ni watu wakucheza na fursa hakuna uzalendo, Ndio wako bize na Media wengine wanasafiri wanaacha Nyumbani watu wanaumizana bila kujali .Inaumiza sana.
 
Kwanini Mwarabu wa Loliondo yeye halalamiki? ukipata jibu hilo mengine wewe achana nayo utaishia kutekwa na kuuawa
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Rais hajawahi kuzungumzia hili suala na wakati suala lenyewe linazidi kuelekea vibaya yeye kaondoka nchini sasa hapo mtu mwengine unaingia kusema nini?
 
Tunawapa points za bure Kenya
 
Rais wenu hana msaada ktk nchi hii wala ktk mgogoro wa wamasai.

Yeye kama anashiriki mikutano ya UN mbaya zaid anakwenda mpka huko, na kama mnakumbuka mwaka jana walifanya kikao cha kimataifa mada ikiwa ni kutunza mazingira&kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Na yeye mara kwa mara amekuwa akisikika kukemea watu kufanya makazi&ufugaji maeneo ya misitu&maliasili.

Basi mujuwe tu hata huo mgogoro una baraka za mamayenu na pia una mikono mirefu ya wakubwa zake sa[emoji817] huko alikokwenda kusain mikataba ya ulaghai.

Watanzania tutajuta kuongozwa na huyu ajuza
 
Sijaona point ulichoandika zaid ya "kudhibit uharibifu wa mazingira"

Ulitaka uharibifu usidhibitiwe? I mean watu waachwe wavamie mapori kirahis tu

Lakin hapo unalamika yeye kwenda UN na mikataba walio sign.

Swali hiyo mikataba ulisha iona? terms na conditions zake zikoje?
 
Rais wenu hana msaada ktk nchi hii wala ktk mgogoro wa wamasai.

Yeye kama anashiriki mikutano ya UN mbaya zaid anakwenda mpka huko, na kama mnakumbuka mwaka jana walifanya kikao cha kimataifa mada ikiwa ni kutunza mazingira&kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Na yeye mara kwa mara amekuwa akisikika kukemea watu kufanya makazi&ufugaji maeneo ya misitu&maliasili.

Basi mujuwe tu hata huo mgogoro una baraka za mamayenu na pia una mikono mirefu ya wakubwa zake sa[emoji817] huko alikokwenda kusain mikataba ya ulaghai.

Watanzania tutajuta kuongozwa na huyu ajuza

Unaweza ukatuthibitishia hiyo mikataba ya kilaghai anayosaini huko?
 
Habari JF,

Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.

Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu kwa kusaidia hao Watanzania na ndio maana media zao zinatangaza sana.

Kwa kifupi hapa wao wanaonekane wako vizuri kidiplomasia huku Sisi tunaonekane hatuna viongozi wenye uchungu na wananchi wao.

Tatizo ni huku kwetu Tanzania tunashindwaje kushughulika na kundi Dogo la watu hivi? Viongozi na Wasomi wa Nchi hii tunafeli wapi?

Kila jamii huwa inakuwa na Wana inayowasikiliza na kuwaamini ni Kama CHADEMA wakiwa na vuguvugu ukichukua Mbowe ,Lissu na Mnyika ukaongea nao wakitoka wakatoa kauli hakuna mwanachama ataendeleza vuguvugu, je tumeshindwa kuwatambua watu kama hawa na kukaa nao katika mazungumzo?

Kwa maana rahisi tumeshindwa kimfumo au kuna kitu kinatusukuma kuwa hamisha hao watu na ndio maana tumekosa sababu za Maana za kuwa hamisha .

Lakini pia imeonyesha wazi Viongozi wetu, Wasomi wetu ni watu wakucheza na fursa hakuna uzalendo, Ndio wako bize na Media wengine wanasafiri wanaacha Nyumbani watu wanaumizana bila kujali .Inaumiza sana.
Kwa miaka 6 Nchi ilivunjwavunjwa misingi yake ya Utu na Utumishi hakika mama anakazi yakufyagia makapi yote ya watu walioko ambao hawana chembe ya Utanzania tuliouzoea
 
Back
Top Bottom