Habari JF,
Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.
Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu kwa kusaidia hao Watanzania na ndio maana media zao zinatangaza sana.
Kwa kifupi hapa wao wanaonekane wako vizuri kidiplomasia huku Sisi tunaonekane hatuna viongozi wenye uchungu na wananchi wao.
Tatizo ni huku kwetu Tanzania tunashindwaje kushughulika na kundi Dogo la watu hivi? Viongozi na Wasomi wa Nchi hii tunafeli wapi?
Kila jamii huwa inakuwa na Wana inayowasikiliza na kuwaamini ni Kama CHADEMA wakiwa na vuguvugu ukichukua Mbowe ,Lissu na Mnyika ukaongea nao wakitoka wakatoa kauli hakuna mwanachama ataendeleza vuguvugu, je tumeshindwa kuwatambua watu kama hawa na kukaa nao katika mazungumzo?
Kwa maana rahisi tumeshindwa kimfumo au kuna kitu kinatusukuma kuwa hamisha hao watu na ndio maana tumekosa sababu za Maana za kuwa hamisha .
Lakini pia imeonyesha wazi Viongozi wetu, Wasomi wetu ni watu wakucheza na fursa hakuna uzalendo, Ndio wako bize na Media wengine wanasafiri wanaacha Nyumbani watu wanaumizana bila kujali .Inaumiza sana.