Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Diva huyu dada alijitahidi sana jina lake lisirudi ila halmashauri hawakufanya hivo.....
na mm ntakuunga mkono, huyu dada nmemchukia kweli km chadema inashindwa kuwachukulia hatua kali watu km hawa, ikulu itapasikia redioni. nina mashaka alihongwa na ccm. Ukifuatilia vzr uchaguz wa Ilala, segelea, kgamboni na mbagala, km UKAWA wangekua na umoja kweli, ccm wasingepata hata jimbo moja Dar
Mtamlaumu huyo Dada lakini baada ya mvutano wa Ukawa kuisha na barua ya kujitoa kuwakilishwa, mkono wa CCM kushirikiana na NEC wakatumia mwanya huo na kusema kuwa request za kuprint karatasi za sample ya wagombea zimeshapelekwa.Hata Mimi sidhani MTU aliyegharimu jimbo kupewe viti maalumu, kama hilo ni kweli na hatutapewa maelezo yoyote ya kutetea uamuzi huo NITAJITOA UKAWA Mara moja.
kurudisha form usimlaumu.... unakumbuka ya jimbo la nanyamba? Bila cdm makini ccm walikuwa wapate majimbo mengi tu mapema kama bumbuli etc... la kuto zunguka na mtatiro una uhakika? Fanya homework yako vizuri plz....Huyu alipewa chake na wa ccm kwanini hakuzunguka na mtatiro yeye alijua jimbo la cuf kwanini alirudisha fomu.
Chadema ndo wanajua hii issue hawako serious na mambo yao na inabore kulea ujinga
Uko sahihi Diva na kuonyesha hawakuwa serious wanampatia viti maalumu kama Hiyo orodha ni ya kweli.
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
Umeona mbali sana hawachukui mwezi vizee vingi vilijua vikasepaHalaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.
Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye
Kwa hili ukawa wamefanya ujinga kwahyo wanapenda tabia hizi za antropia. Uteuzi umenibore huu
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
Mtatiro mwenyewe alipendekeza, huyu jamaa ni zaidi ya umjuavyo. Atakuja kuwa rais wako.
Jingalao ya UKAWA waachie UKAWA, hivi kwa nini hamjampa Irene Uwoya ubunge wa viti maalumu?
Kwa hiyo ataenda kugombea popote? Duh, jamaa kumbe ni kiraka! God forbid, ila hata jimbo la Chato ataenda gombea?Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
mtatiro hakuwahi kugombea urais udsm, kusema aliukosa urais humtendei haki. tulikuwa tunamkubali sana, pamoja na hayo aliepata sapot kutoka kwa mtatiro, (daud deo) aipita kwa kishindo.Mtatiro huyu aliyeukosa urais wa UDSM au?
Pengine angekubali kuanzia harakati zake chadema angefika mbali