Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

ni lazima whereas ipate mtu wa kusemea bungeni wanaongoza halmashauri then wasiwe na mwakilishi utakuwa ujinga
 
Jingalao
Hivi SI wewe uliyesema UKAWA hawatapata hats jimbo moja Dar es salam?
Tutolee upuuzi Wako hapa,hujui lolote
 
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu

Utakufa wewe Mashujaa wa Ccm wateule watabaki hapahapa mpaka Mungu akiwahitaji
 
Kwani aliyekuwa naibu Spika Ndungai wakati anamchapa bakola mwenzie mpaka akazimia kwenye kura za maoni alikuwa ametumwa na Chadema na kule Busega kwa Chegeni tulishuhudia aliyekuwa waziri katika serikali ya Kikwete akipigana kwenye kura za maoni.
Hayo matukio hukuyaona nikutumie clip zake.
 

Unajijua jinsia yako plz niambie ili.jikujib sawa na jinsia yako
 

sio rahisi kila mtu awemo, nafasi zenyewe 64, 36 na 10
 
Ata mimi nimekatwa wakati nilikua napambana usiku na mchana.
 
Tatizo lenu ccm liko wapi kwenye mgogoro wa ukawa? Si nadhani mtachekelea ukawa ukifa kabisa mpate kupitisha dili zenu za kuja kununulia kofia na kufanya fiesta 2020. Watu wengine sijuhi mnakosa cha kuandika
 
Hivi mtu kama remijia mtema unamuachaje?

Huyo simfaham boss. Lkn ukweli ni kwamba nafasi zilizotengwa ni chache ukilinganisha na mahtaji. Ndio maana wajanja kama bulaya, matiko walikimbilia majimboni.

Wanaotegemea fadhila wacha wakose, hawana faida yoyote.

Ila nasikitika Regina Lowasa hayumo, angefaa sana. Anatropia angetupwa tu
 

Muwe mnasoma na posts za zamani humu jamvini...ndio maana kina jingalao mtaendelea kuwachukia kumbe hamjui kinachoendelea...siku nyingine usikubali kuzungushwa mikono kumbe watu wana deals zao.

hebu google hilo jina la mtema utaelewa naongelea nini.
 
Last edited by a moderator:
Huyu alipewa chake na wa ccm kwanini hakuzunguka na mtatiro yeye alijua jimbo la cuf kwanini alirudisha fomu.

Hapa wa kulaumiwa ni ukawa nzima..yani kuanzia kina mbowe na wenzie wote kwa kushindwa kufikia maridhiano ya nani aachiwe jimbo..sio huyo dada!.
 
Hapa wa kulaumiwa ni ukawa nzima..yani kuanzia kina mbowe na wenzie wote kwa kushindwa kufikia maridhiano ya nani aachiwe jimbo..sio huyo dada!.

Wanashindwa kuheshimu makubaliano yao wenyewe what a shame.
 
Kulikuwa na uchama mwingi..

Na ndo tatizo la upinzani uchama mwingi bila kuangalia masilahi mapana ya taifa. Wamepoteza nafasi nyingi kizembe kisa tamaa. Uzalendo unahtaji kuweka ubinafsi pembeni na kuwa serious
 
Huyu Dada alitoa jina ila tume walirudisha jina,na mtatiro wala hajalalamika,na alipendekeza Dada apewe viti maalum, wala Dada hana kosa tume ndiyo waliogoma kutoa jina
 
Siyo lazima wote wawe wabunge. Nafasi katika siasa mbona zipo nyingi tu! Wengine wanaweza wakasubiri waje kugombea ujumbe na uenyeviti wa serikali za mitaa, wengine nafasi mbalimbali za chama na kuanzia taifa, majimbo na wilaya.
Wengine siyo mbaya wakakubali kuwa wapiga kura au wanachama wa kawaida.
 
jmn cjaona vt maalum jmbo la longido arusha mwenye update anijulshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…