kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.
Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao.
Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa wa afrika ni urusi na China kuliko watu wa Ulaya magharibi na Marekani. Magharibi wanajua kuwa huu ni wakati wa waafrika kurudisha hisani kwa marafiki zao wakubwa wa urusi na China kwa kuwaunga mkono kwenye dhiki Yao inayowapata Sasa kama vile wao walivyowaunga mkono wakati wakitawaliwa na nchi za magharibi, wakati wa kujikomboa na wakati kuyaunda majeshi yao.
Nchi za Afrika zinameza maneno kusema zimuunga mkono urusi waziwazi kwa kuhofia kukosa ndizi wanazotupiwa na Magharibi. Kufanya hivyo kitakuwa kipimo halisi cha wazungu kuhu ubinadamu wa mwafrika. Maana binadamu kamili Yuko assertive. Mwafrika ni muoga, ana aibu, na ana ubongo tegemezi.