Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

Namba 8 sahihisha huo mwaka hatujafika
 
propaganda uchwara
 
Marekani katangaza rasmi kupeleka silaha na zitafika maeneo husika.
 
Answabembeleza wahindi wanunue mafuta bei karibu na bure!
Vikwazo haviiumuzi Russia tu. Vikwazo hiyo ndiyo vinafanya TZ inaumia kwa ghrama kubwa USA. Huko USA mafuta sasa hivi yamefikia $5 au zaidi kwa galoni toka wastani wa $2.80 kwa galoni. BVikwazo vikiwekwa siyo mlengwa tu anaumia, lakini huu ndiyo wakati wa makampuni makubwa ya mafuta USA kuvuna,.
 
huna chanzo cha habari hivyo tunatupa kule kenge
Silaha za kivita zinaingia kila leo ukraine jana marekani wamepeleka ndege zisizo na rubani akili yako imeathiriwa na uputini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…