Ndugu
Putin ameng'ang'ania madarakani kwa miaka 30 sasa.Kafanikiwa vipi ? Kwa kuuwa na kufunga wapinzani
1.Alexei Navalny - huyu ni KUB pale moscow.Kwa sasa anatumia kifungo cha miaka 15 kwa uhujumu uchumi.Akiwa jela Putin alitaka kumuuwa kwa sumu kali ya
Novichok nerve agent
2.Sergei Yushenkov- alimiminiwa risasi akiwa nyumbani kwake tarehe 17 April 2003 masaa machache baada ya kusajili chama chake cha upinzani
3.Yuri Schehekochikhin- mwandishi wa habari aliyeuwawaw kwa sumu mwaka 2003 baada ya luchunguza mauaji aliyofanya Putin
4.Boris Nemtov ‐mpinzani wa Putin aliuwawa kwa kumiminiwa risasi mchana kweupe kama Lissu mwaka 2015
5.Stanislav Merkelov -Mwanasheria wa haki za binadamu alipigwa risasi ya kichwa na Putin
7.Anastia Baburora - Mke wa Stanislav Merkrlov alipigwa risasi ya kichwa na Putin
8.Natalia Estemirova - mwanasheria wa haki za binadamu alipigwa risasi za kichwa mwaka 2099
9.Anna Politkovskaya-shot dead akiwa katika lift ya nyumbani kwake mwaka 2006 sababu y akumpinga Putin
Je umenielewa???