Wamepitisha lini?Kule kwenye NEC wamepitisha kuwa hakuna mchujo baada yake watakuhukumu wananchi unaowaongoza kwa kukutua na kumpa wa upinzani,ikicheza vibaya na wapiga kura wako,ingekuwa powaa sana kma na wapizani wangecopy hii kitu.
Umetoa wazo muhimu sana ambalo naisi Uzi wako utavutwa tena mwaka 2020 kwenye uchaguziKwa jinsi hali ya hewa kisiasa ilivyo,wengi wenu mtakatwa majina huo mwaka 2020.Hivyo basi mimi ninawashauri piganieni ugombea binafsi upitishwe kweshe sheria zetu za uchaguzi.
Huyu JPM ana visirani sana ,wengi mtachinjiwa mbali kwenye Chama.
Walipokutana kwenye mkutano wao wa mwezi wa 2/3 mwaka huu.Wamepitisha lini?
Weeeeee!! sasa kwa taarifa yako majina yatachujwa na mwenyekiti mwenyewe, yaani yeye ndo atakuwa na last say na hakuna kunegociate.Walipokutana kwenye mkutano wao wa mwezi wa 2/3 mwaka huu.
Umeona mbali lakini halitawezekana "ilomboye". Kuweni wavumilivu na muendelee/tuendelee kumuombea. Nimeona clip moja ya Askofu wa Kikatoliki kaamua liwalo na liwe anaomba katiba mpya.Nitafute basi Nsezaye,unafikiri inabidi waanze kutafuta mbadala,otherwise wajiandae kisaikolojia.Bora kukiwa na mgombea binafsi ukikatwa jina kisa upo tofauti na mwenyekiti,basi unagombea jimbo hilo hilo kama mgombea binafsi.
Magufuli anahusika vipi na alipo?Sofia Simba yupo wapi?
Unaijua katiba ya CCM? Hayo madaraka ameyapata wapi? Weka hapa nukuu za hayo mamlaka .....au ndio Mange kasema?Weeeeeee,sasa kwa taarifa yako majina yatachujwa na mwenyekiti mwenyewe,yaani yeye ndo atakuwa na last say na hakuna kunegociate.
Hivi mlikuwa wapi vipengele vya katiba vilipobadilishwa,kwanza hata viongozi wa CCM wilaya mikoa watapunguzwa idadi, hata wajumbe wa mkutano mkuu watapunguzwa idadi.Ulimsikia lini Mange akiongelea haya?Kwani wewe hukufuatilia marekebisho ya katiba ya CCM ambayo kwanza yamempa Mwenyekiti nguvu kubwa sana YA KUPIGILIA NYUNDO.Unaijua katiba ya CCM? Hayo madaraka ameyapata wapi? Weka hapa nukuu za hayo mamlaka .....au ndio Mange kasema?
Victoire Inghambire?Kwa jinsi hali ya hewa kisiasa ilivyo,wengi wenu mtakatwa majina huo mwaka 2020.Hivyo basi mimi ninawashauri piganieni ugombea binafsi upitishwe kweshe sheria zetu za uchaguzi.
Huyu JPM ana visirani sana ,wengi mtachinjiwa mbali kwenye Chama.
Katiba ya CCM inasemaje mkitaka kufanya marekebisho? Wajumbe gani wanashiriki kupitisha? Kama yalipita ....Magufuli anaingiaje while mlifata taratibu zote za chama? Uzuri nilifatilia vyema hili ....naomba uweke hapa nukuu za hayo mabadiliko kama reference ....Hivi mlikuwa wapi vipengele vya katiba vilipobadilishwa,kwanza hata viongozi wa CCM wilaya mikoa watapunguzwa idadi,hata wajumbe wa mkutano mkuu watapunguzwa idadi.Ulimsikia lini Mange akiongelea haya?Kwani wewe hukufuatilia marekebisho ya katiba ya CCM ambayo kwanza yamempa Mwenyekiti nguvu kubwa sana YA KUPIGILIA NYUNDO.
Wewe ulikuwa wapi mkutano mkuu ulipoitishwa na mabadiliko yakapitishwa,any way ngoja nikipitia makablasha nitakuwekea.Ndo maana nikasema hapa solution ni kuwa na mgombea ubinafsi tu.Hapo unakuwa huru na hufanyi unafki eti kisa tu usikatwe jina 2020.Katiba ya CCM inasemaje mkitaka kufanya marekebisho? Wajumbe gani wanashiriki kupitisha? Kama yalipita ....Magufuli anaingiaje while mlifata taratibu zote za chama? Uzuri nilifatilia vyema hili ....naomba uweke hapa nukuu za hayo mabadiliko kama reference ....
Hapo kuna umuhimu wa KATIBA MPYA kama ya Warioba.Na hapo ndio umemaliza mchezo mkuu Gaijin!