Hili la mgombea binafsi si CCM wala UPINZANI wote hawalitaki,kwani vyama siku hizi vimekuwa vijiwe vya watu wenye maslai yanayo fanana na ndio maana hata ukikosea unatetewa mf CHENGE na LOWASA na wote wakiingia bungeni wanahakikisha maslai ya chama kwanza na si Tanzania kwanza na hata hizi movement zinazoanzishwa kwangu naziona hazina maslai kwa taifa.
Mimi mwenyewe napenda tuwe na katiba mpya itakayo ruhusu mgombea binafsi ,tatizo katiba mpya inapitishwa na hawa hawa wanasiasa kwa hiyo ,tunaweza pata katiba mpya isiyomtambua mgombea binafsi.