Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

Majaji wanatumia curia adv. vult. the wrong way maana haitakiwi kuwa sababu yakuchelewesha ishu ya msingi kama hii mambayo inauzito kama haki ya msingi yakikatiba ambayo inatakiwa kuwa exercised mwaka huu ama isubiri mpaka mid-term elections za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2015.

The thing about the current political regime is that it sacrifices national interest for the sake of personal power to the incumbent president and his henchmen and facilitates systematic patronage.

Why is there no advocacy from the opposition and civil society to ensure that there are reforms.

Judges of the Court of Appeal (which is the supreme court) should be confirmed by Parliament to ensure that they represent the people and not just the appointment of the president... Ramadhani atawezavipi kiuka amri ya rais. Japokua it is unconstitutional huyu jamaa anakuwa ordered, unless mtu awe na moral stance yaajabu (which is rare in political reality).

Heads of Tz missions abroad should also be confirmed by Parliament so that they represent the general Tanzanian rather than being zawadi ya Rais kwa watu ambao wamekosa ukuu wa mkoa na uwaziri... watu wawe competent. We would get the best people, sio rais akitaka kumuondoa mpinzani wake ndani ya CCM anampeleka CHina kuwa balozi kwa miaka 5 ili apoteze nguvu yakisiasa.

Head of independent departments such as PCCB, EWURA, TCRA, TANESCO, and other public bodies ought to be confirmed by Parliament. Tunakuwa kama kwenye serikali ya museveni na Mobutu, mambo yakizamani yanayocost Tanzania. At least with a confirmatory system watu wanapata watu ambao kidogo wanakuwa vetted and then Bunge linalowakilisha watu directly linakuwa na say. Then by having a considerable percentage of opposition and wapiganaji backbenchers tunaweza kuwa na monitoring nzuri.

Governor wa BOT na Deputy governors.

Hii kitu ni muhimu sana, kila nchi patronage ipo lakini lazima mtu umpendae umpe nafasi pale ambapo kwanza yuko qualified and hana historia ya uharibifu huko nyuma. This would create the necessary balance to make sure Tanzania gets what it deserves, the best, most educated and experienced and qualified people doing what needs to be done.

Just my thoughts.
 
Mwanakiji mkuu mwenzangu;niliposikia tu Jaji Mkuu anasema siku ya hukumu itatangazwa baadae bila kutuambia specific date ya kutoa hukumu hiyo ya kihistoria nikajua tumepigwa tayari changa la macho!

As I see,hukumu itatolewa shortly after October's General Election na likely wana mageuzi wakashinda lkn itakuwa too late a labda tuanze kuitumia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015!

Demokrasia imekwisha bakwa kwa visingizo vya gharama mpya za kutayarisha rasimu za wagombea zilizotolewa na NEC chini ya kiapo cha Mzee Rajab Kiravu
 
Sitegemei Jaji aliyeteuliwa na Rais kama atatoa maamuzi yatakayomuudhi aliyemteua, Sana sana tujipange kusimamisha uchaguzi mkuu Mahakamani

Uamuzi wake si utafanywa na majaji walioteuliwa na serikali? Nafikiri Mtikila aliwahi kufanya hivyo, lakini uchaguzi mdogo uliendelea eti Mtikila alikuwa right kikatiba lakini gharama ya kusimamisha uchaguzi ni kubwa kuliko wale ambao walikuwa wamefikia umri wa kupiga kura kutokupiaga kura. Lakini mbona wale wa mahakama kuu walithubutu kutoa hukumu sahihi? Je huyu CJ na jopo lake wanashindwa vipi?
 
Tena Ramadhani alisema kuwa hukumu itatolewa kwa njia ya notice kwa wahusika, sasa hii njia inakuwaje? Wanasheria mtusaidie hapa? Kwa sababu mimi naona wahusika ni wananchi wote.
 
Malafyale,
Malafyale.. mimi naamini hukumu itatolewa within this very short time kwani maslahi ya taifa yanataka itolewe kabla ya hotuba ya bajeti ili kutoa nafasi kwa mabadiliko fulani ya sheria.

Kama hisia zangu zinaniruhusu (na hazijanidanganya kwa muda mrefu) naamini tutarajia hukumu ya kesi hii within these very short days (kabla ya mwisho wa Mei).
 
Jaji Mkuu Agustino Ramadhan, amesema serikali imeahidi kupokea hukumu ya aina yoyote itakayotolewa na Mahakama ya Rufani kuhusu suala la kuwepo kwa mgombea binafsi au la.
Amesema pamoja na kukubali kupokea uamuzi wowote, serikali pia imesema itatekeleza maagizo yatakayotolewa na mahakama hiyo.

Aliyasema hayo mjini hapa jana wakati akizungumzia hali ya uhuru wa mahakama kufuatia swali aliloulizwa na mwandishi wa habari mmoja wakati wa mapumziko baada ya Rais Jakaya Kikwete, kufungua mkutano wa nane wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA).

"Serikali inaheshimu sana uhuru wa mahakama na kwa sababu hiyo haijaingilia kesi hii ya mgombea binafsi…suala hilo imeachiwa mahakama na yenyewe imesema itapokea uamuzi wowote utakaotolewa na itautekeleza," alisema.

Jaji Mkuu alieleza kuwa usikilizaji wa kesi hiyo umemalizika na sasa kinachofanywa na mahakama yake ni kuandika hukumu. Hata hivyo, hakusema hukumu hiyo itatolewa lini.

Kesi hiyo ya kikatiba kwa mara ya kwanza ilifunguliwa mwaka 2005 na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akipinga kipengele katika Katiba kinachowazuia watu kugombea nafasi za ubunge, udiwani na urais bila kuwa wanachama wa chama cha siasa. Katika hukumu yake Mahakama Kuu ilimpa ushindi Mchungaji Mtikila hali iliyoilazimu serikali kupinga na kisha kuwasilisha rufaa, Mahakama ya Rufani.

Akizungumzia suala la haki za binadamu Afrika Mashariki, Jaji Mkuu Ramadhan, kumekuwa na hali ya utendaji mzuri wa haki za binadamu kwa Tanzania lakini alikataa kuzungumzia haki za binadamu kwa nchi nyingine.

"Siwezi kuzungumzia haki za binadamu kwa ujumla katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, lakini naweza kufanya hivyo kwa Tanzania ambako naona hali imekuwa nzuri," alisema na kuwaeleza waandishi wa habari kuwa hata wao wanaona hali ilivyokuwa nzuri.

Mapema kabla ya kumkaribisha Rais Kikwete kufungua mkutano huo, Jaji Mkuu Ramadhan alimwelezea kuwa ni Rais ambaye anaheshimu sana uhuru wa mahakama hali ambayo imeifanya mahakama nchini kuendesha kesi zake bila woga na kwa kuzingatia haki.

Alisema suala la uhuru wa kuzungumza ni la muhimu sana kuhimizwa na kupewa kipaumbele katika suala la haki za binadamu. "Mtu anatakiwa awe huru kuzungumza na hata kusema ‘unanionea' hiyo ni haki yake na hakuna haja ya kumpeleka mahakamani," alisema. Pia alizungumzia suala la maslahi kwa majaji na mahakimu na akampongeza Rais Kikwete kwa kuwaboreshea kuanzia Julai mwaka jana hali ambayo itasaidia katika utendaji wa haki.

Mkutano huo unawashirikisha majaji wa Mahakama za Rufani, majaji wa Mahakama Kuu na mahakimu ambao ni wanachama wa EAMJA kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda utamalizika Ijumaa wiki hii.




CHANZO: NIPASHE
 
Jaji Mkuu Agustino Ramadhan.


Jaji Mkuu Agustino Ramadhan, amesema serikali imeahidi kupokea hukumu ya aina yoyote itakayotolewa na Mahakama ya Rufani kuhusu suala la kuwepo kwa mgombea binafsi au la.
Amesema pamoja na kukubali kupokea uamuzi wowote, serikali pia imesema itatekeleza maagizo yatakayotolewa na mahakama hiyo.

Aliyasema hayo mjini hapa jana wakati akizungumzia hali ya uhuru wa mahakama kufuatia swali aliloulizwa na mwandishi wa habari mmoja wakati wa mapumziko baada ya Rais Jakaya Kikwete, kufungua mkutano wa nane wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA).
Serikali inaheshimu sana uhuru wa mahakama na kwa sababu hiyo haijaingilia kesi hii ya mgombea binafsisuala hilo imeachiwa mahakama na yenyewe imesema itapokea uamuzi wowote utakaotolewa na itautekeleza, alisema.

Jaji Mkuu alieleza kuwa usikilizaji wa kesi hiyo umemalizika na sasa kinachofanywa na mahakama yake ni kuandika hukumu. Hata hivyo, hakusema hukumu hiyo itatolewa lini.

Kesi hiyo ya kikatiba kwa mara ya kwanza ilifunguliwa mwaka 2005 na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akipinga kipengele katika Katiba kinachowazuia watu kugombea nafasi za ubunge, udiwani na urais bila kuwa wanachama wa chama cha siasa. Katika hukumu yake Mahakama Kuu ilimpa ushindi Mchungaji Mtikila hali iliyoilazimu serikali kupinga na kisha kuwasilisha rufaa, Mahakama ya Rufani.

Akizungumzia suala la haki za binadamu Afrika Mashariki, Jaji Mkuu Ramadhan, kumekuwa na hali ya utendaji mzuri wa haki za binadamu kwa Tanzania lakini alikataa kuzungumzia haki za binadamu kwa nchi nyingine.

Siwezi kuzungumzia haki za binadamu kwa ujumla katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, lakini naweza kufanya hivyo kwa Tanzania ambako naona hali imekuwa nzuri, alisema na kuwaeleza waandishi wa habari kuwa hata wao wanaona hali ilivyokuwa nzuri.

Mapema kabla ya kumkaribisha Rais Kikwete kufungua mkutano huo, Jaji Mkuu Ramadhan alimwelezea kuwa ni Rais ambaye anaheshimu sana uhuru wa mahakama hali ambayo imeifanya mahakama nchini kuendesha kesi zake bila woga na kwa kuzingatia haki.

Alisema suala la uhuru wa kuzungumza ni la muhimu sana kuhimizwa na kupewa kipaumbele katika suala la haki za binadamu. Mtu anatakiwa awe huru kuzungumza na hata kusema unanionea hiyo ni haki yake na hakuna haja ya kumpeleka mahakamani, alisema. Pia alizungumzia suala la maslahi kwa majaji na mahakimu na akampongeza Rais Kikwete kwa kuwaboreshea kuanzia Julai mwaka jana hali ambayo itasaidia katika utendaji wa haki.

Mkutano huo unawashirikisha majaji wa Mahakama za Rufani, majaji wa Mahakama Kuu na mahakimu ambao ni wanachama wa EAMJA kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda utamalizika Ijumaa wiki hii

CHANZO: NIPASHE
 
Thursday, 02 June 2011 22:58

By Zephania Ubwani

The Citizen Bureau Chief

Arusha. Two days after a suit was filed against Uganda and Kenya for alleged human rights violations and breach of constitution, Tanzanian government was taken to court yesterday for its rejection of independent candidacy.The case was jointly filed by the Tanganyika Law Society (TLS) and the Legal and Human Rights Centre (LHRC) in the African Court on Human and Peoples Rights in Arusha.The case challenges the provisions of Articles 39, 67 and 77 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, as amended in 1992 and again in 1994.The two amendments removed in total the right of ordinary Tanzanians to seek to be elected president, MP or councillor unless they were members of a political party.

In other words, unlike their counterparts in the majority of African countries, a Tanzanian cannot seek office as an independent candidate, said TLS President Francis Kibodya during a media briefing after the case was filed.

He noted that the anomaly within the Constitution forces all Tanzanians wishing to participate in leadership to join a political party even if they do not subscribe to the manifesto, principles, policies or practices of any of the existing political parties.

He said the provisions of the Tanzanian Constitution violate Article 13 (Right to freely participate in the governance of ones country) and Article 2 (Right to protection against discrimination of any kind) of the African Charter on Human and Peoples Rights.

They also violate articles 3 and 25 of the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR). Tanzania is a party to both instruments of international human rights.Mr Kibodya noted that Tanzanias partners to the East African Community, that is, Uganda, Kenya, Burundi and Rwanda allowed independent candidates.

Indeed, in Uganda, independent candidates have vied for presidency, he said, adding that this was not the first time that the violation of Tanzanians right to run for president has been challenged in court.

The outspoken opposition politician, the Rev Christopher Mtikila, was the first to file a case in the High Court through Miscellaneous Civil Case No 5 of 1993. The highest court in the land ruled in his favour on October 24, 1994. However, the government chose to defeat the High Court ruling by making the 11th Constitutional Amendment to the Constitution on December 2, 1994, which was nevertheless challenged by the Democratic Party (DP) leader.

Rev Mtikila challenged the amendments, through High Court Miscellaneous Civil Case No 10 of 2005, according to a joint press statement by TLS and LHRC issued to reporters.On May 5, 2005, the High Court ruled in the Rev Mtikilas favour, declaring that the 11th Constitutional Amendment violated the democratic values and principles enshrined in the Constitution.

The amendments, the court further ruled, also violated the constitutional doctrine of basic structures.

This doctrine provides that there are certain basics, fundamental features of a countrys constitution that a national parliament cannot amend on its own, the TLS boss added. Although in 2009, the Attorney Generals Chambers instituted an appeal challenging the decision of the High Court (in Civil Appeal No 45 of 2009), the Court of Appeal reversed the decision of the High Court.

The Court of Appeal, in its ruling, declared that the Basic Structures Doctrine does not apply to the Constitution of the United Republic of Tanzania and based on that, there was no right to independent candidacy in Tanzania.With the decision of the Court of Appeal, the two legal bodies argued, it was clear that the right of any Tanzanian to seek political office as an independent candidate has been blocked, adding:The only other legal or judicial option for pursuing this right is through international tribunals to which Tanzania is a party, said My Kibodya.

He said TLS, LHRC and several individual citizens resolved to pursue the constitutional right at the Africa Court on Human and Peoples Rights for the benefit of all Tanzanians.

He further said the two bodies acknowledged the courage and persistence of the Rev Mtikila in pursuing this right, on behalf of all Tanzanians, so passionately for the last 18 years. He stated that they also acknowledged the partnership and support of the East African Law Society (EALS) and the Pan African Lawyers Union (Palu) in the process of international litigation.

The African Court on Human and Peoples Rights, which relocated to Arusha from Addis Ababa, Ethiopia in 2007, is at the apex of the developing African continental human rights system.

It is established by the Protocol to the African Charter on Human and Peoples Rights. The Protocol came into force in January 2004 with 26 African countries having ratified it.This is the first case in the Court from Tanzania and one of the earliest that stand a reasonable chance of succeeding before the Court, according to officials.
 
Bora wamsaidie Rev Mtikila hawa wakoloni CCM wabishi sana
 
Siasa za kichama na vioja vyake tunavyoona katika bunge ka kumi ni mwanzo tu. "Partisan politics" ndio zinaanza kuota mizizi na ndio sababu nyingine muhimu, na ni wakati wa kuwa na wagombea wa kujitegemea (binafsi) watakogombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini. Kinachotokea sasa bungeni, ni mfutano wa vyama vya siasa, kuona kipi kitaweza kufunga magoli ya kisiasa dhidi ya chenzake.

Ukiacha mabunge wachache ambao kweli wanatoa hoja ambazo zinaweka maslahi ya mtanzania, wengi wa hawa wanasiasa ni kuona nani atapata madaraka na kupata unga wake na jamii yake na sio hasa kwa maslahi ya watanzania. Mgombea bonafsi ataangalia maslahi ya watanzania kwa ujumla kwa sababu kimsingi hana "boss" wa kisiasa wa kumcontrol.
 
Ninapowatazama wabunge wa USA (maseneta na wawakilishi) naona wote ni kama wagombea binafsi. Chama hakina sauti kubwa sana juu yao na wanaweza hata kumkemea rais wa chama chao anapokosea na akatubu na siasa zikaendelea. Hapa kwetu tumeshuhudia mbunge kuvuliwa uanachama; kisa ni kumezea mate kiti cha mwenyekiti huko NCCR.

Mwingine mwenye kumezea mate ukatibu CUF naye amekalia kuti kavu. Shibuda alim-test JK kwenye ugombea CCM na matokeo yake akapigwa chini ndani ya chama japo anakubalika jimboni kwake. Udikteta wa viongozi wa vyama ni mbaya zaidi ya udikteta wa mkuu wa nchi na serikali. mbunge ananyamazishwa kwa hila za NEC za kijanja. Suluhisho ni kuwa na wagombea binafsi au mbunge kuhama chama na ubunge wake hadi tutakapoheshimiana.
 
ccm wameliona hilo ndo maana wanalipiga chenga japo katiba haizuii
 
mkuu sidhani kama kuna kitu kinaogopwa na ccm kama mgombea binafsi,watapigana kwa nguvu zote kuhakikisha wazo la mgombea binafsi is out of the way!

Mtikila aliona hiyo ndiyo njia pekee ya kuishinda CCM, lakini nashangaa haungwi mkono na vyama vingi vya siasa na wanaharakati,
 
Wadau, Bado nazidi kusisitiza tofauti kati ya mgombea binafsi (Private candidate) na mgombea Huru (Independent Candidate)
kwa Katiba yetu tuna MGOMBEA Binafsi amabye anadhaminiwa na chama chake, si mgombea Huru, ni vyema tuyatumie kwa umakini sana haya maneno though ni kweli kwamba ni common mistake, but kwa sisi ambao angalau tunaweza kuandika hu mu jamvini maana tuna kaupeo a,bako inabidi kushirikisha jamii

Ama Badu
 
Amavubi,
Hizi ni semantics. Kwani mgombea huru kwa tafsiri yako sio mgombea binafsi? Epuka literal translation. Independent candidate ni mgombea binafsi na sio mgombea huru. Tumia tafsiri ya kiswahili kupata maana ya 'binafsi'. mgombea huru ni 'free candidate' kwa lugha zako
 
Nchi nyingi zenye demokrasia ya kweli katiba zao zinamkubalia kila raia mwenye vigezo vya kupiga kura na kupigiwa kuweza kugombea nafasi yoyote ya siasa kwa kutumia chama cha siasa au bila kutumia chama cha siasa. Kilio hiki ni cha muda mrefu sana nchini Tanzania huku watawala wakiogopa kuruhusu katiba kufanya mabadiliko ya kuruhusu mgombea binafsi bila sababu za msingi.

Wananchi wengi wamekuwa wakipiga kelele kuwa wakati mwingine wanajikuta wakimchagua mgombea wasie mpenda kwani kuna baadhi hawataki kujihusisha na vyama vya siasa ila wangependa kuwatumikia wananchi katika nafasi za ubunge au udiwani.

Faida zilizopo za kuwa na mgombea binafsi ni pamoja na mtu kukimbia mizengwe ya vyama vya siasa na kujitafutia ubunge au udiwani bila kuchujwa, pili wananchi kumchagua mtu ambaye wanamtaka bila kupitia vyama vya siasa, tatu kiongozi aliyetoka kwa ugombea binafsi kuwa huru kufanya kazi bila kubanwa na sheria za vyama vya siasa pamoja na mlolongo wa uongozi wa vyama vya saisa.

Madhara ya mgombea binafsi ni uwezekano wa kushinda kwani mazingira ya sasa ya ushindi kwenye siasa yanamatumizi makubwa sana ya fedha ili kuweza kushinda.

Kwa gharama ambazo mgombea binafsi ambae hana wanachama atahitajika fedha nyingi sana kujitambulisha na kuuza sera zake.

Kwa uchumi wa Tanzania sioni kama kunauwezekano mkubwa sana wa wagombea binafsi kushinda hasa kwenye siasa hizi za rushwa na matumizi ya anasa ya kampeni. Kama vyama ambavyo kila kukicha vinajinadi bado kwenye chaguzi matumizi ya fedha yanakuwa maradufu sijui itakuwaje kwa mgombea asiye na mtandao mzuri wa wananchi.

Hatari nyingine ni wagombea hawa kutumiwa na mafisadi au kufadhiliwa na watu wenye nia zao ili kuwaingiza bungeni na kuwatumia visivyo.

Tukiangalia swala la kufukuzwa kwa wanasiasa ambao tayari ni wabunge au madiwani kwenye vyama vyao kisha kusababisha kurudiwa kwa uchaguzi, hili linatuongezea gharama ambazo sio za lazima. Nafikiri katiba mpya ingeweka uchaguzi mdogo kila baada ya miaka miwili na nusu, kwa ajili ya wale wote watakao fukuzwa na vyama vyao au kushindwa kwenye kesi za uchaguzi au kufa ili kufanya chaguzi ndogo wakati mmoja. Ikitokea madhara yametokea baada ya uchaguzi mdogo katiba iweke wazi mshindi wa pili ashike kipindi kilichobaki.

Najua kuna waliopendekeza kuwa chama kilichoshinda kipendekeze mtu ambaye anaweza kukaimu jimbo, hilo mimi naliona linaweza leta shida kwani siasa zetu bado changa, viongozi wetu wanaweza kuwafukuza wanachama wao ili kuweka marafiki zao kukaimu. Kama haya yatakuwa magumu inabidi kujadili njia inayofaa zaidi.

Matumizi ya chaguzi ndogo yanatisha sana, hayana maana, na niya anasa kubwa kwa vyama vyote.
 
kwa hili magamba hayako tayari kukubali maana ndo utakuwa mwisho wao. Nitarudi baadae kidogo
 
Back
Top Bottom