LGE2024 Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
CCM ni Chama Cha Mashetani. Majitu yote maovu yamejazana huko.

Bila ya wananchi kushirikiana kumwondoa huyu shetani, huyu muuaji mnyonya damu za Watanzania, ataendelea kuchagua leo aue yupi, kesho aue yupi, mkilalamika mtaambiwa kuwa, 'kifo ni kifo tu".

Hii imekwishakuwa nchi ya udikteta uliopindukia.
 
Hakika ni mtihani CCM wajitangaze tu kuwa ni watawala wa maisha maana huku kuuwana uwana hovyo kwa vijisababu vya kizembe kumezidi.

Uenyekiti wa mtaa unamuua mtu?baba wa familia au mtoto tegemezi wa mtu?si wanasema hiyo nafasi haina mshahara sasa kinachofanya hadi kuuwa wapinzani wao ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…