Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zinazowapa raha ccm.Wakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.
Marehemu kamuua nani tena??Marehemu ni mpuuzi yaani unauwa sababu ya uchaguzi wa kugombea ujumbe wa mtaa? Go to hell
Marehemu ana kosa gani hapo? Acha makasiriko, mlaumu askari alomuua nfo amekiuka sheriaMarehemu ni mpuuzi yaani unauwa sababu ya uchaguzi wa kugombea ujumbe wa mtaa? Go to hell
Kesho Moshe ziendelee vipi wakati unasema una issue upo kwa shemeji ?Si mapya nchini. Nashauri muachane na haya mambo na muwe zenu busy na maisha binafsi, likizo Kama hizi zikitangazwa tulia ulipo… Kama hauna pa kuishi Kama Mimi Upo zako aidha kwa ndugu, shemeji au rafiki…, kuleni ugali, Siku iishe kesho Mishe mishe za kimaisha ziendelee Kama kawaida.
Kuna sehemu na-brush viatu ndugu. Namshkuru maan’anKesho Moshe ziendelee vipi wakati unasema una issue upo kwa shemeji ?
Embu toka kwa dada yako njoo mtaani tupambane sisi Wana mtaa hatuna nongwa hata punje ya karanga tutagawana kikubwa wote tusife njaa.
Keko Magurumbasi hapana Kaka usipange huko Kuna wanga Sana hauwezi kuendelea maana kidogo utakachokuwa unakipata kutakuwa Cha mtaa wote .Kuna sehemu na-brush viatu ndugu. Namshkuru maan’an
Vipi kuna issue tusaidiane mkuu?! Angalau nipange ghetto la 30k keko magurumbasi au kigogo bondeni
Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.Wakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.