loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Mimi niliwashauri vzr chadema kuwa wajitoe tu waachane na hizi drama,sasa hii ni cha mtoto,2025 Mungu akijaalia ndio picha kamali,wanaua na hakuna anaewajibishwa,kwa staili hii tutafika??Wakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.