Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Dah..😭😭😭😭Wakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.