LGE2024 Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Trump akisema hii ni shithole country watu wanasema jamaa ni mbaguzi
 
Walimuua mzee kibao tumekaa kimya.. wanachokitafuta watakipata ccm..
Timbisimilwa ni mtu poa sana hapa ulongoni Mungu amrehemu
 
Hizi taarifa nimeziona Al Jazeera hadi nikashangaa, tunaripotiwa vibaya mno huko!

Kwanini taifa letu linachafuliwa namna hii? CCM haya ndiyo maagizo mliyowapa Polisi au wanatenda kwa utashi wao?
Sad!
 
Chama cha Milele...dah balaa
 
Hizi taarifa nimeziona Al Jazeera hadi nikashangaa, tunaripotiwa vibaya mno huko!

Kwanini taifa letu linachafuliwa namna hii? CCM haya ndiyo maagizo mliyowapa Polisi au wanatenda kwa utashi wao?
Sad!
linachafuliwa vipi wakati vitu vinatokea kweli
 
Inaumiza, inasikitisha! Vifo visivyo sababu za msingi vinapoongezeka, vinaongeza shinikizo na namna ya kuvizuia/ kuvipunguza. Watu wakichoka kukata matawi, watashughulika na ukataji mizizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…