loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Mimi niliwashauri vzr chadema kuwa wajitoe tu waachane na hizi drama,sasa hii ni cha mtoto,2025 Mungu akijaalia ndio picha kamali,wanaua na hakuna anaewajibishwa,kwa staili hii tutafika??Wakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.
Tlaatlaah ChoiceVariable mbona mnaua watu Makamanda ?
Si mnapita kwa kishindo au hivi ndio vishindo mlivyomaanisha. ?
"kwenye kushika Dola sisiem hatuna utani " ...Amos Marangi.
Sasa wewe ndio mpuuzi++!Marehemu ni mpuuzi yaani unauwa sababu ya uchaguzi wa kugombea ujumbe wa mtaa? Go to hell
visasi vya kudumu.Inasikitisha sana.. tunatengeneza visasi ambavyo hatutakaa tupate amani
braza mshana. Hauwezi fanya jambo kilingeni ili huyu chatu aka joka kuu lililotupwa duniani litoweke?Dah..😭😭😭😭
Akili gani nikajiingize kwenye fujo kisa mwenyekiti wa mtaa, kazi haina kichwa wala miguu badala ya kukaa na family yako unajitia kwenye balaa kisa uongozi wa mtaa.
Linachafuliwa au tunajichafua wenyewe?! Wenyewe wana report kinachafanyika...Kwanini taifa letu linachafuliwa namna hii? CCM haya ndiyo maagizo mliyowapa Polisi au wanatenda kwa utashi wao?
Sad!
naona vifo ni vingi kila kona ya nchi uvccm na polisi wanawaua wagombea wa chadema kwanini saa100 na mkwe wake wako kimyaWakuu,
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus G. Timbisimilwa amefariki baada ya kupata kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi, alipokuwa anazuia kura feki kuingizwa kwenye masanduku ya kura, tukio limetokea leo mchana huu.
Niamini Mimi kaka kwa hizi siasa za kina mbowe sahau maisha Yako yote kuona ama kusikia chadema /upinzani umeshika Dora.siku upinzani ukishika dola kuna polisi na vijana wa uvccm watafia jela.
kuna mtandao wa polis na vijana wa uvccm wanaoteka ,na kuua watu wasio na hatia
Unafikri bila kuwashughulikia CCM wataachia uongozi? Watu wanakamata wahalifu wanawakabidhi policcm unafikri kuna akili hapo?kiwanda cha kuzalisha wajinga ccm, na wewe kimekuzaa?