LGE2024 Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kesho Moshe ziendelee vipi wakati unasema una issue upo kwa shemeji ?

Embu toka kwa dada yako njoo mtaani tupambane sisi Wana mtaa hatuna nongwa hata punje ya karanga tutagawana kikubwa wote tusife njaa.
 
Kesho Moshe ziendelee vipi wakati unasema una issue upo kwa shemeji ?

Embu toka kwa dada yako njoo mtaani tupambane sisi Wana mtaa hatuna nongwa hata punje ya karanga tutagawana kikubwa wote tusife njaa.
Kuna sehemu na-brush viatu ndugu. Namshkuru maan’an

Vipi kuna issue tusaidiane mkuu?! Angalau nipange ghetto la 30k keko magurumbasi au kigogo bondeni
 
Dunian Kuna dhuluma nyingi sana

Unamzulumu mwenzio uhai wake kisa CCM dah so sad

Pumzika kwa aman mtumish
 
Kuna sehemu na-brush viatu ndugu. Namshkuru maan’an

Vipi kuna issue tusaidiane mkuu?! Angalau nipange ghetto la 30k keko magurumbasi au kigogo bondeni
Keko Magurumbasi hapana Kaka usipange huko Kuna wanga Sana hauwezi kuendelea maana kidogo utakachokuwa unakipata kutakuwa Cha mtaa wote .

Dah ningekuwa mjini ningekupa kibarua labda .
Kaka Mimi nipo kijijini hapo mjini nilitoka muda Sana labda Kama unakuja kijijini huku kulima kiazi na kahawa Kaka .
 
Haki haipatikani kupitia masanduku ya kura na makaratasi!!

Muambiwe mara ngapi ndio muelewe??
 
Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…