Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma


Kaka punguza hasira hahaha
 
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Mitandaoni mnaweza sana, ngoja uhalisia
 
Kule TBCCM wamechanganyikiwa kabisa imebidi waweke Kongamano la vijana wa Mataga live ili tu waonekane nao wako bize.
 
Cha ajabu na uchaguzi huu kitapita Kwa kishindo ambacho Hakijawahi kutokea tangu uwepo wa vyama vingi, sijui wanatumia dawa wale, au nadhani washindani Wao huwa hawatahamiki Kwa wananchi, au huwa hawana sifa

Hakuna uwezekano wa ccm kuendelea kupata kura zaidi ya 60% kwa njia halali. Dunia imeisha badilika na ccm sio chama cha kizazi hiki. Unapoona ccm inaendelea kukumbatia tume hii isiyo huru ya uchaguzi, ujue haifanyi hivyo kwa bahati mbaya, bali wakati ni ukuta.
 
Mkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Umesahau ongezea hapo flyover, vituo vya Afya, ndege, Elimumsingi bilaAda n.k, kwakweli kwa mambo haya yote aliyoyafanya mi binafsi nimekubali kuwa mjinga, muoga na mnafiki.
 
Aisee nieamini makamanda wa hapa JF ni bendera fuata upepo, hakuna hata mmoja mwanachama halisi wa Chadema, pereree tu

Mpaka sasa jamaa ameshachukua fomu hakuna hata picha moja

Chadema ni mitandaoni tu, tena kwa watu wachache wenye ID's nyingi

Hebu miliki hata Id 3 kisha jaribu kuchangia nazo, halafu uone kama utakuwa na jipya. Ni vyema hakuna nyomi maana mngeanza kulialia kuwa cdm wanakiuka kanuni za uchaguzi kutokuandamana siku ya kuchukua fomu.
 
Kule TBCCM wamechanganyikiwa kabisaa imebidi waweke Kongamano la vijana wa Mataga live ili tu waonekane nao wako bize.



tunapowaambia mtaani hakuna mtu anawakubali mue waelewa, ona sasa nn iki? ukiachana na hao bajaji mliowapa 5000 ya mafuta basi mlikua mtembee tu kwa miguu
 
Umesahau ongezea hapo flyover, vituo vya Afya, ndege, Elimumsingi bilaAda n.k, kwakweli kwa mambo haya yote aliyoyafanya mi binafsi nimekubali kuwa mjinga, muoga na mnafiki.

Kama ni hivyo ndio vinakufanya uwe muoga na mnafiki, ungekuwa Afrika kusini mpaka leo ungekuwa chini ya makaburu.
 
Ulitaka wawe wengi ili mseme ni maandamano muwapige mabomu? Mlikolalia ndiyo tulikoamkia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

si mshaambiwa muda wa kampeni ruksa kuanza, kwan kuna mtu amewasumbua? tatizo lenu bangi nyingi icho chama, kule hai ndo kabisa mbowe kanusurika kupigwa mawe, uku dodoma ndo yaani usipime! muache bangi sasa mda umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…