Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hatimae yametimia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao washauri wao uwezo wao ni kucharaza watu risasi tu.Sijaelewa swali lako. Unamaanisha kuvunjiwa nyumba au kukosa makazi ili eneo lipangwe???
Kama ni kuvunjiwa nyumba ndio, Nipo tayari...
Kumbe ndiyo huyu mwenye kishundu mbinuko !!!Nipo hapa Meeda bar njoo unihudumie tafadhali
Leo ni sikukuu.
Ofisi hazitafunguliwa.
Sijui mtabomoa mlango?
Na kujipendekeza ili matumbo yao yashibe. Hakuna wapuuzi duniani kama CCM kwa mtazamo wangu kwa kweli.Hao washauri wao uwezo wao ni kucharaza watu risasi tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Viongozi wa wanyonge bana.View attachment 1530813
kila mtu yuko na ishue zake bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid.
Ajira za kwenye miradi mikubwa tu ni zaidi ya milioni 6.
Utawapaje kura watu waongo, wanafiki na wazandiki kiasi hiki.
Ajira zingekuwa nyingi hivi nisingeona classmates wangu wengi wakilishwa na mama zao.
Mitandaoni mnaweza sana, ngoja uhalisiaNiko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Kule TBCCM wamechanganyikiwa kabisa imebidi waweke Kongamano la vijana wa Mataga live ili tu waonekane nao wako bize.Kuna vijibwa vya mboga mboga vilikuwa vinabweka toka asubuhi kuwa Chadema wameingia chaka kupanga tarehe ya leo kwenda kuchukua form, yaani CCM wamechanganyikiwa wanavizia tu kumuengua Lissu ili wapate mteremko. Safari hii tutabanana hadi kipenga cha mwisho.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Cha ajabu na uchaguzi huu kitapita Kwa kishindo ambacho Hakijawahi kutokea tangu uwepo wa vyama vingi, sijui wanatumia dawa wale, au nadhani washindani Wao huwa hawatahamiki Kwa wananchi, au huwa hawana sifa
Wewe unayefuatilia unatosha.
Ulitaka wawe wengi ili mseme ni maandamano muwapige mabomu? Mlikolalia ndiyo tulikoamkia.View attachment 1530819
yaaani kuna harusi zina foleni kuliko cdm nzima mikoa yote! tuhuzunike kidogo
What a proverb
Umesahau ongezea hapo flyover, vituo vya Afya, ndege, Elimumsingi bilaAda n.k, kwakweli kwa mambo haya yote aliyoyafanya mi binafsi nimekubali kuwa mjinga, muoga na mnafiki.Mkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Aisee nieamini makamanda wa hapa JF ni bendera fuata upepo, hakuna hata mmoja mwanachama halisi wa Chadema, pereree tu
Mpaka sasa jamaa ameshachukua fomu hakuna hata picha moja
Chadema ni mitandaoni tu, tena kwa watu wachache wenye ID's nyingi
Kule TBCCM wamechanganyikiwa kabisaa imebidi waweke Kongamano la vijana wa Mataga live ili tu waonekane nao wako bize.
Mwandishi utopolo huyu! Membe yuko CHADEMA?CHADEMA, Bernard Membe amefika katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu ya Uteuzi ya kugombea Urais
Umesahau ongezea hapo flyover, vituo vya Afya, ndege, Elimumsingi bilaAda n.k, kwakweli kwa mambo haya yote aliyoyafanya mi binafsi nimekubali kuwa mjinga, muoga na mnafiki.
Ulitaka wawe wengi ili mseme ni maandamano muwapige mabomu? Mlikolalia ndiyo tulikoamkia.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app