Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Tusidanyane na wala msijifariji!.Kiuhalisia ni ngumu sana kukataa jitihada za rais Magufuli ni mtu aliyeifanyia mambo makubwa sana Tanzania na anahitaji muda zaidi ili taifa letu liendelee kupiga hatua kubwa zaidi.
Ukiangalia kiuwalisia Lissu pia ni mtu mwenye uweledi kutokana na elimu yake ya sheria lakini ni mapema mno kwasasa kwa yeye kuingia madarakani ingempendeza zaidi angegombea 2025.Ila kwa Sasa ni anatafuta sympathy tu, kura atakazo pata ni chache sana huo ndo ukwel mchungu. Yaan mtu kakaa Belgium huko miak 3 alafu simply eti anagombea Urais kisa alipigwa risasi kwamba ataonekan shujaa na kupata kura za huruma!. Never ! Urais sio kama kuokota dodo chini ya muembe.
Aliyeokota dodo chini ya muembe humjui?
Kama sio minyukano yenu unadhani angekuwa wapi? Hata ubunge asingepita kama zamani kwani tayari wizi na fitina zake za kura walisha zijua huko kwao Burigi
 
1596889843308.png
 
Chadema anakusubiria mchujo wa Kamati kuu Dodoma kwani wanajua wapo wanaccm watachujwa majina yao kukatwa kwa hila chuki majungu hujuma za kutengenezwa kwa kuwanunua Takukuru wawaandikie report japo CCM wote wametoa Rushwa hakuna CCM hakuoa Rushwa kwenye kura za maoni, Takukuru wakitaka wapate heshima na baraka za watanzania waandike report ya kweli kuwa CCM wote wametoa Rushwa ili uchaguzi wa kura za maoni urudiwe upya kabsa haki itendeke.
 
Hawa jamaa ni wepesi kama bua
Kura za maoni CCM wote wametoa Rushwa cha ajabu eti kuna mchujo kamati kuu Dodoma, wanaenda kuchuja nini? wote ni watuhumiwa wa Rushwa? au wanaenda kuchuja aliyetoa Rushwa ndogo ndogo?
 
Wakati kule mtaani TL anajulikana katumwa na beberuzi. Kwenye mitandao manaandika Mambo ya kutiana moyo.

Nendeni mtaani mkawaambie kwa nini TL ametumwa na beberuzi, kwa nini anaukubari Ushoga uje TZ. Kwa nini anapenda kutumia Media za kizungu kuongelea mambo ya chumbani/TZ?

Humu munatusumbua
Acha uzubaifu wew Taga jinga. MABEBERU CCM imewapa maeneo hapa nchini wajenge na kuweka ofisi zao.Kuna shida gani kuendelea kushirikiana nao? Au Unafikili kwa kutumia Makalio wewe.
 
Mipango ya Mungu ,wewe unapanga kumuua Mungu anakataa unabaki na aibu yako.
 
Hahhahah.. Video nmeona hakuna kitu yani pamoja na mbwembwe zote toka juzi kwamba dodoma imejaa kumsubiri Lisu lakini kaenda kama mkiwa,!

Hata hivyo ni Jiwe tano tena hadi 2025 hutaki kunywa sumu ufe..

Haya niite tena dada maana hilo ndio furaha yako.
Oktoba lazima tutafutane humu, muwe tayari kupokea matokeo! Hakuna namna , chagua JPM chagua maendeleo!
 
By the way mtu anayeleta maendeleo ila hathamini utu wa watu huyo kwangu simthamini kabisa. Tundu lisu najua hataweza hata punje kuleta maendeleo lakini atajali sana utawala wa haki na sheria, sitarajii kusikia watu wakipotea chini ya tundu lisu.Mungu atutangulie atuwezeshe.
Kauthamini sana tu,,, ndo maana wa tz tunadunda tu now,,, nakumbuka mheshimiwa Tundu alisema JPM corona itamshinda na soon tanzania maiti zitatapakaa,,,

Sasa kwa kauli hizi cjui nan anaemthamin mtanzania zaidi
 
Leo ndio ile siku Rais wa Mioyo ya Watanzania Mhe. Tundu Antipas Lissu atachukuwa form ya Kugombea Urais Wa Tanzania Hapa Dodoma

Tundu Lissu akirejea Dodoma tangu jaribio la mauaji dhidi yake.

#NaneNaneYaHaki

Haki ya wagombea kupewa fomu

Haki ya wagombea kuteuliwa

Haki ya wagombea kutangazwa

Updates
-------
Rais wa Wahuni na wabwia unga
 
I wish mgombea wake mwenza angekua yule Dokta Mwanamke aliyetia nia mapema kabisa kugombea hiyo nafasi kupitia hicho chama chake cha Chadema.

Naona huyo Salum Mwalimu kama hana mvuto vile!! Ni maoni yangu tu hivyo 'Makamanda' nawaomba sana msinielewe vibaya. Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo. Sina chama.
Kwa mujibu wa Katiba mgombea mwenza lazima atoke sehemu ya pili ya Muungano, na yule Mama ni Mtanganyika.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom