Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Aliyeokota dodo chini ya muembe humjui?Tusidanyane na wala msijifariji!.Kiuhalisia ni ngumu sana kukataa jitihada za rais Magufuli ni mtu aliyeifanyia mambo makubwa sana Tanzania na anahitaji muda zaidi ili taifa letu liendelee kupiga hatua kubwa zaidi.
Ukiangalia kiuwalisia Lissu pia ni mtu mwenye uweledi kutokana na elimu yake ya sheria lakini ni mapema mno kwasasa kwa yeye kuingia madarakani ingempendeza zaidi angegombea 2025.Ila kwa Sasa ni anatafuta sympathy tu, kura atakazo pata ni chache sana huo ndo ukwel mchungu. Yaan mtu kakaa Belgium huko miak 3 alafu simply eti anagombea Urais kisa alipigwa risasi kwamba ataonekan shujaa na kupata kura za huruma!. Never ! Urais sio kama kuokota dodo chini ya muembe.
Kama sio minyukano yenu unadhani angekuwa wapi? Hata ubunge asingepita kama zamani kwani tayari wizi na fitina zake za kura walisha zijua huko kwao Burigi