Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma


Kwani yule daktari anatokea Zanzibar maana sheria intaka watoke bara na mmoja Zanzibar
 
Lisu anapita,ila sasa tume huru, tume huru ipo?
 
Wametokea sehemu mbalimbali nchini wamesafiri hadi kufika Dodoma kushuhudia tukio la uchukuwaji form wa Mh. Tundu Lissu
 
Tushawazoea kila kipindi cha uchaguzi kinapokaribia Chadema hupandwa midadi ya kushinda lakini wapi,
Mlivyoshindwa 2015 haitokuja kutokea tena.
Tuombe uzima tu msikimbie jukwaa.
 
Salary Slip nilikuwa nje ya mtandao, vipi watu wameitikia vipi? kama Dar? Mungu mbariki TL! Huyu ni mkombozi, tusipigwe tena Risasi, tupewe nyongeza ya mishahara maana ni statutory, tusipotezwe,tusibambikiwe kesi and many many other atrocities commited by this regime! Lisu atayakomesha na hayatatokea tena!
 
John Mnyika. bagamoyo, Molemo , CHADEMA , Chadema Diaspora Tuleteeni video hiyo ya hotuba ya Lissu humu na kupitia facebook na Twitter . Tutaidownload na kuisambaza hadi vijijini.

Tunakuja kwenye hotuba hii ya leo ndo Lissu anaanza rasmi kusema Sera zake na za Chama zake Ndo mana fitna za Leo zimekuwa kwa kiwango kikubwa kukiwa na taarifa watu wa CCM na kwa mzee Magu wamepiga simu kwenye vyombo vya habari kuwatisha Eti wasionyeshe tukio la leo.
 
Usivuke mto kabla haujaufikia.
Subiri siku ya uchaguzi halafu uone kama wakala wako hataruhusiwa kushuhudia hatua zote za kura ndipo ulalamike. Lakini uwe na ujasiri wa kukiri ukweli endapo utashindwa.
 
Usivuke mto kabla haujaufikia.
Subiri siku ya uchaguzi halafu uone kama wakala wako hataruhusiwa kushuhudia hatua zote za kura ndipo ulalamike. Lakini uwe na ujasiri wa kukiri ukweli endapo utashindwa.

Hayo niliyokuambia ni ukweli mtupu, labda ungekiri kwanza ukweli niliousema. Kama wakati huo box la lilichezewa mbele ya macho ya umma, ni kipi unataka nije nikiri huko mbeleni? Ungenionyesha uungwana kuwa hayo yaliyofanyika huko nyuma ni sawa, ila kwa sasa mmejirekebisha, na ili nijue kweli ni mtu unayependa ukweli, tamka wazi kuwa uchaguzi wa SM za mitaa ulikuwa batili. Halafu tutaanzia hapo kwenye hilo daraja.
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naishukuru serikali yangu imenipa ajira. Natambua kazi aliyoianza mhe rais Magufuli ya kuijenga nchi yetu na ndio maana nataka aimalizie kwa 2020-2025.
Natambua Cuf , tlp, cdm, act wazalendo ni wote ni vyama vya upinzani
Nawasihi chadema msiwabague wenzenu. Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Itawatafuna.
 
Wenzetu wanapeleka chombo Mars sisi hata maji taka Kariakoo yanashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…