Kwani lazima zijazwe zote kama zilikuwepo zingine za magumashi je??
Unaongea nini dogo, unanitaka nikishindwa kihalali nikiri, nimekupa mifano ya chaguzi zote toka awamu hii iingie madarakani, kuwa haikuwa halali na uligubikwa na ushenzi mwingi tu. Lakini unataka nikiri nikishindwa, kwa hiyo mimi ndio mamlaka? Ww ni mnafiki usiyejitambua, amani ni tunda la haki, ufumbie machi haki, kisha ujifanye unajua thamani ya amani! Shubamiit.
Wewe vuruga amani halafu utaona kitakachokupata. Kama wewe umeichoka wengine tnaitaka.
Halafu nakuzidi sana umri.
Acha uchochezi bwashee!NEC na polisi mnakwama wapi. Lissu anakuja kwa maandamano JPM na CCM hafanyi hivyo. Lissu anawafanyisha kazi 88 na weekend JPM hafanyi hivyo. Mkwara wa kusema asipowakuta ofisi zenu halali yao imewafanya mfyate mkia?
Joni we ni akili kubwa naanza kukuelewaAcha uchochezi bwashee!
The devil you know is better, than the devil you don’t.We utopolo vipi mbona umekomaa hivyo au unaleta habari za UDP hapa ,hukumuona Naibu katibu Mkuu Mwalimu.
Au kwa kuwa vyombo vya habari mmepigwa mkwara kuripoti tukio la leo.
Endeleeni tu ngoja Oktoba tuwakomboe kutoka makucha ya mkoloni mweusi.
Hongera kwa kufanikiwa kuchungulizia dirishanileo dodoma ilifurika kila kona ya mji.
...reaction baada ya kunangwa mitandaoni!!Leo pamekuwepo na malalamiko lukuki hapa Jf kwamba media za ndani zimekwepa kuonyesha tukio la Tundu Lisu akikabidhiwa fomu na mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage.
Niko naangalia Clouds tv habari na wamemuonyesha kwa kirefu Tundu Lisu.
2020 hakunaga kama Dr Magufuli!
Ahahaaa...! Kwa hiyo hapo usiempenda kaja?
Mbona umo kujadiri mkuu?Aisee huko Cdm kuna wengi watoto na Mawazo ya kitoto sana!
Ndio maana jf imejaa viroja na matusi tu badala ya hoja zenye uzito!
Imagine tunajadili hii thread [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaaaa.......!Misukule ya Sacco's ya mtaa wa ufipa kwani huwa inajielewa Basi ipo ipo tu
Hapana......kila taaluma ina miiko yake!...reaction baada ya kunangwa mitandaoni!!