Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.
 
Leo pamekuwepo na malalamiko lukuki hapa Jf kwamba media za ndani zimekwepa kuonyesha tukio la Tundu Lisu akikabidhiwa fomu na mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage.

Niko naangalia Clouds tv habari na wamemuonyesha kwa kirefu Tundu Lisu.

2020 hakunaga kama Dr Magufuli!

Tuwekee hapa video ya hiyo habari
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi,kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu,ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema,na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi,haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais..ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa,pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu..baada ya kunusurika kifo,jambo ambalo ni lizuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissukatika harakati yake ya kugombea Urais.
Mkuu, siasa inaendeshwa na mikakati, kumbuka Dodoma ndipo kitovu cha lile tukio lililompeleka ktk uvuli wa mauti lilipotokea. Leo ilikuwa ni "demo" tu ya kimkakati ya kuuonyesha ulimwengu kuwa Tundu Lissu yupo tayari ktk mpambano mgumu wa kuitwaa dola kupitia sanduku la kura.
 
Wewe vuruga amani halafu utaona kitakachokupata. Kama wewe umeichoka wengine tnaitaka.

Halafu nakuzidi sana umri.
Amani itavurugwa na wasiopenda haki kama wewe.tafadhari lissu akishinda atangazwe safari hii hatumuachii mungu we will do something
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.

Tuliza mshono kijana ,usipagawe tulieni dawa iwaingie,mlizoea vya kuchinja sasa kaja mwamba kuwanyonga!!
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.

Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.

Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.
Leo ilikuwa sikukuu..
Watu wanapumzika...
 
Sawa. Relax then. U should be happy that ur opponent is making mistake.
 
Mshauri huyo jiwe ajiandae kisaikolojia ataitapike hiyo pacemaker this time.
 
Back
Top Bottom