Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.
Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi.
Pia ni wazi sasa watanzania wamejidhibitishia yakwamba chadema ni SACCOS na sio chama cha siasa.
Ule umati uliompokea Lissu kipindi kile akirejea nchi, haimaanisha wamempokea kwa lengo la kuumunga mkona katika harakati ya kugombea urais.. ule umati ulikuwa na watu wengi waliotaka kumuona tu Lissu kama kweli yupo hai au yalikuwa ni mambo ya siasa, pili kuna watu walienda kumpokea kwasababu ya haruma tu.. baada ya kunusurika kifo, jambo ambalo ni zuri ila watu hawa haimaanisha ndio waponyumba ya Lissu katika harakati yake ya kugombea Urais.