Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Engel of death.
 
Aisee huko Cdm kuna wengi watoto na Mawazo ya kitoto sana!
Ndio maana jf imejaa viroja na matusi tu badala ya hoja zenye uzito!
Imagine tunajadili hii thread 😁😁😁😁😁


Watu wazima ni hawa

 
Ujue Lissu is a legitimate threat kwenu mpaka umekuja kumuandikia Uzi mzima!

Umeacha shughuli zako za kukuingizia mamilioni ukaona ushike Tab yako u-login JF utumie bando lako kuandika Uzi mrefuuuuuuu kuhusu uchukuaji wake wa fomu nani alikua anamsindikiza!

What an honor!
 


Hata huku Dar kwenye mikutano ya ACT na Chadema mbona Maalim na Lisu walizimiwa sauti ??
 
Media si kama hazitaki kumuonyesha huyo mzee, isipokuwa hana kauli na ndicho kitakachomuangusha pia kwenye kampeni..hakuna media itakayokuwa tayari kukemewa au kulipishwa faini kwa tatizo la maudhui ya kujitakia..
 
Haujui ulizungumzialo ,watu makini kama kina Dotto bulendu wameweka hadi mada kwenye jicho letu ndani ya habari kuzungumzia hilo swala,watu walienda field kwenye tukio chombo kilichokuwepo ni Azam tu ,Vyombo vingine vimechukua video za youtube na kurusha ila hawajenda kabisa!! Hata Azam baadae walifuta post za kuhusu lissu.
 
halafu utawasikia watu wanakufa na corona hatuambiwi ,hawa jamaa bwana.
 
Hakuna kitu

Si ndo mliwaalika watunwaende kwa wingi kumsindikiza lissu hao ndo waliojitokeza bakini tu humu mitandaoni kujiaminisha mnakubalika ilakule nje kweupe sana

Tunamuelewa JPM na tutaendelea kuwa nae tena
 

all was live today and bado zko youtube, lakini ni bora uwashukuru tu kwa kufuta maaana ilikua ni aibu ule msafara
 
Hata huku kwenye Dar kwenye mikutano ya ACT na Chadema mbona Maalim na Lisu walizimiwa sauti ??
Ndio sera ya uchaguzi hiyo itakayo mtoa Magufuli madarakani kwa kupambana na media.

Wiki iliyoisha ilikuwa ITV leo ni Azam na Ayo Tv, nawatakua uchaguzi mwema.

Watu wakisema ni chama cha kutafuta sympathy sio wanazusha ndio ukweli wenyewe.
 
Lissu ni mkora tu,eti leo wanajifanya makini kupekua mkoba wao mbele ya viongozi wa tume,kweli hawa jamaa hawaimani tume ila form wanachukua ,pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…