ni mitandaoni mkuu , siyo mimi .We jamaa muongo balaa, unajua watu bilioni moja wewe?
Mwizi ni mwizi tu wamefanya vizuriLissu ni mkora tu,eti leo wanajifanya makini kupekua mkoba wao mbele ya viongozi wa tume,kweli hawa jamaa hawaimani tume ila form wanachukua ,pathetic
Marobotni mitandaoni mkuu , siyo mimi .
Tafuta Tundu Lissu mtandao wowote wa kiduniaInawezekana ni kweli ila mkuu tuwekee chanzo cha hii taarifa yako
Kuna mjamaa mmoja kitaa story yake inachekesha na inaweza kumpeleka segedansa muda si mrefu.Na Mimi simo.
Ikiwezekana atangulie tu mbele za hakiUkimuua mtu kwa pressure mimi simo
Hahaha hahaha hahaha! MakubwaMarobot
Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.Story za vijiwe vyenu vya kahawa zimeanza
So, Mungu amvune?Ikiwezekana atangulie tu mbele za haki
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri nayeHii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais..