Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Story za vijiwe vyenu vya kahawa zimeanza
Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.
 
Nchi hii ni Tundu Lissu na Diamond Platnumz pekee wanaoweza kufanya mitandao kuelekea kuelemewa na mzigo wa traffic wa kijiditali.

Kongole makamanda kwa kuwaendesha mchakamchaka wale buku7 wa mtaa wa Lumumba na vituo vyao lukuki vya radio, tv , magazeti na yule mwanaharakati uchwara wa Tanzanite tv.
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais..
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
 
Back
Top Bottom