Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.
Unamuongelea jamaa yupi ?

Kama ni Magufuli tunasubiri aapishwe tu kuwa rais
 
Hii thread yako ina sum up mawazo ya mashabiki wa TL. Kwenye 1 mnaona milioni.
 
Nakupenda sana mjumbe lakini watu bilioni moja parefu sana hakiki hizo tetesi
 
Nakukumbusha tu,
Lowassa alipochukua fomu ya kugombea urais 2015 alifuatiliwa mtandaoni na watu trilioni 1, nini bilioni 1 bana
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Zile sehemu nzuri zenye mafuriko Millard Ayo amezikata zote.
 
Siku magufui anaapishwa tena kuwa rais sijui mtaweka wapi Id zenu
 
Itakua maroboti billion ni wengi sana yenyewe Africa nzima tupo 1.4 billion ukihesabu adi watoto kwa izo data haiwezekani
 
Hahaha mnajitekenya na kucheka wenyewe na takwimu uchwara, wapiga kura tumetulia huku Ichwandimu tumasubiri tar 28, mtakuja kushituka na wapika kura wenu billion 1 duniani tushawachinja chap
 
Itakua maroboti billion ni wengi sana yenyewe Africa nzima tupo 1.4 billion ukihesabu adi watoto kwa izo data haiwezekani
Mkuu 1 bilion ni watu wa duniani waliomfuatilia Lissu
 
Hanaga akili huyo, watu wanamuonaga zwazwa. Hajui hata kuwa bilioni 1 ni 1/7 ya population ya Dunia.
Nadhani kuna wakati wanapenda kuchangamsha jukwaa.
Maana kwa uhakika wanaujua ukweli ndani ya mioyo yao.
Hapo Zambia tu kuna watu lukuki hawajui kinachoendelea kwenye nchi ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week hii nzima no# 1Trending Yotube Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt etc imekuwa ni headline ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea urais na chama chake.
 
Nadhani kuna wakati wanapenda kuchangamsha jukwaa.
Maana kwa uhakika wanaujua ukweli ndani ya mioyo yao.
Hapo Zambia tu kuna watu lukuki hawajui kinachoendelea kwenye nchi ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utoto na ujinga ndo umewazidi. Wanahisi wanampaisha Lissu kumbe wanamdanganya na kumtia ujinga. Akipata hata 10% ashukuru Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…