Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.
Unamuongelea jamaa yupi ?

Kama ni Magufuli tunasubiri aapishwe tu kuwa rais
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais...
Hii thread yako ina sum up mawazo ya mashabiki wa TL. Kwenye 1 mnaona milioni.
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais...
Nakupenda sana mjumbe lakini watu bilioni moja parefu sana hakiki hizo tetesi
 
Nakukumbusha tu,
Lowassa alipochukua fomu ya kugombea urais 2015 alifuatiliwa mtandaoni na watu trilioni 1, nini bilioni 1 bana
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Zile sehemu nzuri zenye mafuriko Millard Ayo amezikata zote.
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Siku magufui anaapishwa tena kuwa rais sijui mtaweka wapi Id zenu
 
Itakua maroboti billion ni wengi sana yenyewe Africa nzima tupo 1.4 billion ukihesabu adi watoto kwa izo data haiwezekani
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Hahaha mnajitekenya na kucheka wenyewe na takwimu uchwara, wapiga kura tumetulia huku Ichwandimu tumasubiri tar 28, mtakuja kushituka na wapika kura wenu billion 1 duniani tushawachinja chap
 
Hanaga akili huyo, watu wanamuonaga zwazwa. Hajui hata kuwa bilioni 1 ni 1/7 ya population ya Dunia.
Nadhani kuna wakati wanapenda kuchangamsha jukwaa.
Maana kwa uhakika wanaujua ukweli ndani ya mioyo yao.
Hapo Zambia tu kuna watu lukuki hawajui kinachoendelea kwenye nchi ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week hii nzima no# 1Trending Yotube Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt etc imekuwa ni headline ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea urais na chama chake.
 
Nadhani kuna wakati wanapenda kuchangamsha jukwaa.
Maana kwa uhakika wanaujua ukweli ndani ya mioyo yao.
Hapo Zambia tu kuna watu lukuki hawajui kinachoendelea kwenye nchi ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utoto na ujinga ndo umewazidi. Wanahisi wanampaisha Lissu kumbe wanamdanganya na kumtia ujinga. Akipata hata 10% ashukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom