Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Hata ukusanye Maoni milioni tambua Makonda aka Bashite hawezi kupitishwa kugombea Ubunge wa Kigamboni.Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.
Ahahahahahaha! Bila shaka wengine walideki barabara! Ahahahahahah!Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .
Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Sina usemi kwanini atashinda na huu mwaka.
hivi hao watu wanaosema akimaliza hii miaka watamchagua tena sindio hali itakuwa si hali?
Mkuu tuwekee link ya hiyo mitandao inayo analyse hiyo habari nasi tufuatilie, au ni mitandao isiyojulikana?ni mitandaoni mkuu , siyo mimi .
Yaani nyie chadema akili zenu wengi zipo under averageline,sio kila mtu anayekosea chadema analipwa sijui buk7,acha ujinga...kwanini hao chadema wanaokosa vyama vingine wanalipwa...kama jibu ni no..basi ujue kunawatu hatukubaliani na hii SACCOS kwa mtazamo na sio mpaka tulipwe.Kama utalipwa kwa post hii basi mwajiri wako no punguani.
Sijui wanatafsiri vip msaamiati wa kuzizimaMbona kuna nyuzi za Dodoma yazizima uchukuaji fomu ya urais kupitia CHADEMA?
Lema ndiye aliyeongoza zoezi la kuhakiki forms kutoka NEC kuona kama ndio zenyewe na zimetimia.Lissu ni mkora tu,eti leo wanajifanya makini kupekua mkoba wao mbele ya viongozi wa tume,kweli hawa jamaa hawaimani tume ila form wanachukua ,pathetic
Naye ni miongoni kwa hao 1 billion viewers,avumilie kama Mh.Lissu alivyovumilia maumivu ya risasi nyingi zilizomtoboa,mikasi na visu vya Dr's waliomtibia pamoja na uchungu wa dawa alizonyweshwa.Hayo ni maelezo ya juu juu tu,hawezi sema sana sasa.Muda utaongea!!!Ukimuua mtu kwa pressure mimi simo
Si vema kuhusisha taarifa za nchi za watu ambazo hazijathibitishwa kwenye siasa zetu.tuweke akiba ya maneno uchaguz unakuja tutajuaMaraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Ila ingependeza zaidi km hao watu bilioni moja wangekuwa wapiga kura wake..Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .
Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Pamoja ndugu yetuAMINA[emoji120][emoji120]
Wale wafuasi wake milioni 80 aliowapata baada ya kuhojiwa hardtalk wako kwenye page yake ya mtandao gani?ni mitandaoni mkuu , siyo mimi .