Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
angalia hiiNdoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...
Inshort kimvuli chako kinakudanganya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia hiiNdoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...
Inshort kimvuli chako kinakudanganya.
Tuliza munkari Basi au joto limepanda?Pu*baf, kwa mama yako.
Hivi juzi ndugai alikuwa na maana gani aliposema kuna wale wapiga kelele sisi tayari tumeshamaliza kazi bungeni, atawekewa pingamizi kwa ile hoja ya tume ya maadili nini??Mungu amlinde Tundu Lissu maana hata Sasa hamna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa shambulio la Tundu Lissu
Mzidi kumtoa michozi TID [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni Yeye 2020
HayaHapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.
Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi...
Ni yeye ndio anajotoTuliza munkari Basi au joto limepanda?
Tuliza kidonda ili dawa iwangieni vizuri dadeeekiHapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Hawa wanaolipwa elfu 7 kwa wiki hawanitishiErythrocyte,
Hawa ndugu zetu wa mtaa wa Lumumba wanasahau kuwa siasa ni suala mtambuka linahusu maisha.
Sasa Diamond Platnumz akiwa anauwezo wa kupata 1bn za digital footprint wanashangaa nini kuhusu TAL na wakumbuke kuna mwanaCCM alisema huu siyo uchaguzi wa Tanzania bali unahusu Afrika nzima maana yake dunia pia inaitazama Tanzania kwa kuwa dunia ni kijiji sasa.
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Kura ni......😅
Weka akiba ya maneno kamanda, views sio kura.
Watu billion moja ni wengi sana bila link kama ni ya youtube au Jamiiforuns Live au source yoyote itabaki kuwa blah blah za mtandaoni!Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .
Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Followers wa Diamond ulipewa link ?Watu billion moja ni wengi sana bila link kama ni ya youtube au Jamiiforuns Live au source yoyote itabaki kuwa blah blah za mtandaoni!
kura labda za Belgium hata kenya hawatampaHaki bin haki ikitendeka huyu bwana ana kura nyingi mno kwa kuwa hata wa upande wa pili watampigia tu..anyway siasa hazikuwahi kuwa fair!
Utaumia sana, wakati jiwe usingizi hapati sembuse wewe mramba miguukura labda za Belgium hata kenya hawatampa
Jibu murua kwa wakati muruaFollowers wa Diamond ulipewa link ?
Dawa imewaingiaWatu billion moja ni wengi sana bila link kama ni ya youtube au Jamiiforuns Live au source yoyote itabaki kuwa blah blah za mtandaoni!
Endelea na propaganda na kuchafua maana upo kwenye payrollkura labda za Belgium hata kenya hawatampa
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .
Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Duh......unapajua USESULA wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Jimbo la YouTube, Kenya, Uganda na Egypt! Eti ndo unategemea upate kura za kule Usesula? Hahahaha chandimu bwana!