Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Ndoto za mchana hizi unahisi unakunya chooni kumbe unakunya kwenye mafiga jikoni kwa bibi yako...

Inshort kimvuli chako kinakudanganya.
angalia hii
 
Attachments

  • Instagram media - CDpIknKBW3R ( 420 X 750 ).mp4
    3.9 MB
Mungu amlinde Tundu Lissu maana hata Sasa hamna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa shambulio la Tundu Lissu
Hivi juzi ndugai alikuwa na maana gani aliposema kuna wale wapiga kelele sisi tayari tumeshamaliza kazi bungeni, atawekewa pingamizi kwa ile hoja ya tume ya maadili nini??
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa.

Kutokana na idadi ndogo ya watu walionekana kwenye msafara huu, ni ishara kuwa watanzania wameichoka Chadema, na wameshapoteza matumaini kama chama mbadala ya kushika dola ya nchi...
Haya
 
Hapo vip!!

Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Tuliza kidonda ili dawa iwangieni vizuri dadeeeki
 
Erythrocyte,

Hawa ndugu zetu wa mtaa wa Lumumba wanasahau kuwa siasa ni suala mtambuka linahusu maisha.

Sasa Diamond Platnumz akiwa ana uwezo wa kupata 1bn za digital footprint kwa suala la muziki, wanashangaa nini kuhusu TAL anayegusa matamanio ya watu wa dunia ya tatu pia hata wale wanaoitwa mabeberu wa nchi za Ulaya na Marekani ya Kaskazini na wakumbuke kuna mwanaCCM alisema huu siyo uchaguzi wa Tanzania bali unahusu Afrika nzima bofya link : Uchaguzi 2020 - Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji - maana yake dunia pia inaitazama Tanzania kwa kuwa dunia ni kijiji sasa.
 
Erythrocyte,

Hawa ndugu zetu wa mtaa wa Lumumba wanasahau kuwa siasa ni suala mtambuka linahusu maisha.

Sasa Diamond Platnumz akiwa anauwezo wa kupata 1bn za digital footprint wanashangaa nini kuhusu TAL na wakumbuke kuna mwanaCCM alisema huu siyo uchaguzi wa Tanzania bali unahusu Afrika nzima maana yake dunia pia inaitazama Tanzania kwa kuwa dunia ni kijiji sasa.
Hawa wanaolipwa elfu 7 kwa wiki hawanitishi
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye

Lugha au Kibri 😂😂😂
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Watu billion moja ni wengi sana bila link kama ni ya youtube au Jamiiforuns Live au source yoyote itabaki kuwa blah blah za mtandaoni!
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .

Nimekuja nishuhudie uongo uliokubuhu.
 
Back
Top Bottom