ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Na hiyo kuplan haihitaji hata investment zaidi ya kuingiza hela!Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila srhemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.
Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo