ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Na hiyo kuplan haihitaji hata investment zaidi ya kuingiza hela!Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila srhemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.
Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo
Magufuli yupo kulinda maslahi mapana ya taifaWenye hofu ni wanaoigiza cinema za kula mahindi barabarani
Ndo hapo sasa. Tukisemaga CCM ni laana kwa hii nchi watu wanafikiri tunawaonea ila ukweli na uhalisia ndio huu.Na hiyo kuplan haihitaji hata investment zaidi ya kuingiza hela!
Magufuli yupo kulinda maslahi mapana ya taifa
mama G umefika Dom lini???? au macho yangu na quality ya camera mliotumiaaa....Tupo njiani kumlaki Ni YEYE YULE View attachment 1530554
Niamini mimiHamna lolote
Kwahiyo ccm mlikuwa mnaibiwa kura sio?Mkipata mbunge hata mmoja, mutakua mumejitahidi sana. Mhe rais Magufuli ameahidi uchaguzi kua huru na haki ili mkose kichaka cha kufichia aibu itakayowapata.
Unaweza kuhimili kuvunjiwa nyumba ili eneo unaloishi lipangwe?Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila sehemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.
Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo
Hii ndio TV gani na inapatikana kwa watumiaji wa startimesUTV wapo Live
You have nailed it. Yaan kila mtu ni mpiga mskofi hakuna mwenye uthubutu wa kuhoji as if wao ndio waajiri wetu.Mkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Sijaelewa swali lako. Unamaanisha kuvunjiwa nyumba au kukosa makazi ili eneo lipangwe???Unaweza kuhimili kuvunjiwa nyumba ili eneo unaloishi lipangwe?
Wewe endelea kuongozwa na jazba badala ya kufikiri critically na logically.
Huelewi masuala ya uchumi unadhani maisha yapo mfukoni mwa mwanasiasa.
Unaweza ona mafanikio leo lakini kumbe msingi wake uliwekwa miaka zaidi ya kumi iliyopita.
Cha ajabu na uchaguzi huu kitapita Kwa kishindo ambacho Hakijawahi kutokea tangu uwepo wa vyama vingi, sijui wanatumia dawa wale, au nadhani washindani Wao huwa hawatahamiki Kwa wananchi, au huwa hawana sifaNi shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila sehemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.
Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo
Jamani mbona hakuna update ya uchukuaji wa fomu? kulikoni?Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais
View attachment 1530697
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Lissu akiwa amewasili katika Ofisi za Chadema Kanda ya Kati zilizopo jijini Dodoma na kupokelewa na viongozi mbalinbali wa Chama, wanachama, wapenzi na mashabiki wa Chadema, kabla ya kuelekea Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu, leo Jumamosi 08/08/2020