Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Naona nyomi kibao hapo. Kweli Dodoma imesimama! Ahahahahahahahah!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la mhe rais kuahidi uchaguzi huru na wa haki lakini kivionya vyombo vya ulinzi na usalama visitumie nguvu katika uchaguzi,limekua ni pigo kubwa sana kwa cdm.Tunaweza kweli kukosa, ila sio kwa njia ya kura, bali kwa maagizo ya rais. Rais anaahidi uchaguzi huru kama nani wakati na yeye ni mshindani?
Yeah haiwezi kuchangamka hakuna Nafasi kwa Wahuni
Mbona sioni nyomi?
Yeye ni mkuu wa nchi na ana dhamana ya kuhakikisha nchi inabaki kuwa na amani hata kama yeye naye ni mgombea. Uchaguzi utakuwa huru na haki ila nyinyi Chadema mnatengeneza mazingira ili mkishindwa mseme haukuwa huru na haki.Tunaweza kweli kukosa, ila sio kwa njia ya kura, bali kwa maagizo ya rais. Rais anaahidi uchaguzi huru kama nani wakati na yeye ni mshindani?
Anapoteza muda huyu,bora angeenda kuomba ubunge huenda angeambulia kitu,urais kwake itakuwa ni ndoto na kamwe haitatimia
Yeye ni mkuu wa nchi na ana dhamana ya kuhakikisha nchi inabaki kuwa na amani hata kama yeye naye ni mgombea. Uchaguzi utakuwa huru na haki ila nyinyi CDM mnatengeneza mazingira ili mkishindwa mseme haukuwa huru na haki...
Jana tuliambiwa jiji la Dodoma litatikiswa hatari, mara wanafunzi wa UD, CBE kumbe ilikuwa propaganda utopolo.View attachment 1530837
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu mgombea wenu msaliti wa Tanzania ataendelea kuongoza kwa kura mitandaoni. Hakuna mtanzania makini anayeijua vyema Tanzania anaweza kupoteza muda hata kufikiria kwamba Lissu atakuwa Rais wa Tanzania...
Hahahahahaaaaaa aaaah!!Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Hawa watu ni wajinga sana mkuuJana tuliambiwa jiji la Dodoma litatikiswa hatari, mara wanafunzi wa UD, CBE kumbe ilikuwa propaganda utopolo.
Hili la mhe rais kuahidi uchaguzi huru na wa haki lakini kivionya vyombo vya ulinzi na usalama visitumie nguvu katika uchaguzi,limekua ni pigo kubwa sana kwa cdm.
Hizi hoja ni za hovyo sana kwa level zako aisee, au ni hasira?Hizi ni propaganda za kizee, na sehemu kubwa ni za wazee au vijana wa ccm wasioweza kujitegemea nje ya mbeleko za madaraka, hivyo unaogopa ikitokea serikali na chama unachokitetea kikatoka madarakani, itabidi ukaolewe kwa ugumu wa maisha.
Naona nyomi limejaa barabara hazipitikiNiko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Ni ajabu sana kwamba unaweza kumtaja Mwenyenzi Mungu na kuwaita MABEBERU (kwa herufi kubwa) watu ambao wameumbwa kwa sura na mfano wa huyo Mwenyenzi Mungu!!Huyu mgombea wenu msaliti wa Tanzania ataendelea kuongoza kwa kura mitandaoni. Hakuna mtanzania makini anayeijua vyema Tanzania anaweza kupoteza muda hata kufikiria kwamba Lissu atakuwa Rais wa Tanzania...