Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Salim ahamed alishika madaraka akiwa na umri gani
 
Kwanza D na baba yake hawajambo lakini?

Mijinga pekee inayodhani mgombea mwenza ni lazima awe mzee mwenye kitambi au mwanamke aliyegonga kwenye menopozi...

Baba D yake mzima kabisa.

Watu wana hasira sababu wanachukulia siasa kama vita hahahaaa
 
Mheshimiwa kabisa, kwani lazima utukane ndio unachotaka kusema kitamfikia muhusika? Tuhakikishe JF inakuwa bora na yenye kuheshimika. Tutoe maoni yetu tuu na sio matusi.
Kwa kifupi hujaona alivyonitusi? Kwanini hujamkanya aliyeanzisha matusi kama kweli wewe ni mtenda haki?

Au mkuki kwa nguruwe mtamu?
 
Kwa kifupi hujaona alivyonitusi? Kwanini hujamkanya aliyeanzisha matusi kama kweli wewe ni mtenda haki?

Au mkuki kwa nguruwe mtamu?

Kichaa akikimbia na nguo zako wakati unaoga mtoni, jee utaamua kumkimbiza?
 
Wangekuwa wako siriasi kweli Mbowe angemwachia Lissu kugombea? Si uliona nafasi ya M/kiti ilivyolindwa? Hapo kasukumiwa mkimbizi kwa kujua kwamba hana nafasi ya kupata ubunge. Wako kimaslahi zaidi
 

Kumbe wewe humjui vizuri Salum Mwalimu, CDM hawakosei ni mfumo dume tu unaotakiwa kubomolewa kwanza ndio ujue "dagaa ni kitowezo" mardadi haswaa!
 
Pumbavu sana wewe unataka makamu awe na pembe na kwato au?
 
Eti Huyu bwana Mwalimu ndio awe Makamu wa Rais wa JMT?kweli Tanzania ndio imefikia hapa?

Katiba inasema kila Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa hivo Salim Mwalimu anatosha.
Je, Mama Samia Suluhu(KE) mgombea mwenza wa Magufuli amamzidi nini Mhe. Mwalimu(ME)?
 
Katiba inasema kila Mtanzania ana HAKI YA KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA hivo Salim Mwalimu anatosha.
Je, Mama Samia Suluhu(KE) mugombea mwenza wa Magufuli amamzidi nini Mhe. Mwalimu(ME)?
Bora mngemrudia babu Duni
 
Sasa yule mama wa CCM mwenye macho legevu huwa ana lipi jpya yaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…