Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
554
Reaction score
916
CCA22098-8FB3-499A-8A4C-E082F7BCB8AD.jpeg
 
Shame on Police mdada Peneza muugwana sana ,hata katika mikutano yake anatanguliza salamu hata ya ' ccm hoyeee' mnafanya mambo ya aibu na fedheha kubwa.Mwacheni Kanyasu apambane katika sanduku la kura.
 
Zanzibar leo wamechezea mabomu ya machozi kisawasawa, Geita mgombea ubunge Upendo Peneza kawekwa kizuizini. Simu za mkononi marufuku kutuma SMS zenye neno "LISSU".

Ila hakuna chombo cha habari utasikia kinatoa hizi taarifa.

Tunahesabu masaa 72 tu, Rais Lissu atangazwe ili huu upumbavu ufikie kikomo. Bora kutawaliwa na "MABEBERU" kuliko hawa "MAKSAI WALIO HASIWA". CCM wakilazimisha ushindi basi dunia nzima itatoa tamko moja #HATUMTAMBUI RAIS WA TANZANIA#
 
😂 😂 😂 everyone is affected by this election but tufanye nn sasa? mliomuweka agombee nchi ndo kama ivo tena useless. hakuna namna zaidi ya kuvote kwa magufuli tena and always ccm, inaeleweka kabisa ni mbwe mbwe za uchaguzi lakini uchaguzi ukiisha mambo yanarudi vizuri, laiti tungepata upinzani unaoeleweka tungekua na pa kukimbilia, karibia kila mtu nchini ameguswa lakini tufanye nn sasa? tuchague chama watakachofukuza wabunge wakienda bungeni? wanaokimbia nchi ikiwa kwenye shida mfano corona, ni bora aendelee tu magu,
 
Back
Top Bottom