Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Zanzibar leo wamechezea mabomu ya machozi kisawasawa, Geita mgombea ubunge Upendo Peneza kawekwa kizuizini. Simu za mkononi marufuku kutuma SMS zenye neno "LISSU".

Ila hakuna chombo cha habari utasikia kinatoa hizi taarifa.

Tunahesabu masaa 72 tu, Rais Lissu atangazwe ili huu upumbavu ufikie kikomo. Bora kutawaliwa na "MABEBERU" kuliko hawa "MAKSAI WALIO HASIWA". CCM wakilazimisha ushindi basi dunia nzima itatoa tamko moja #HATUMTAMBUI RAIS WA TANZANIA#
Salute mingi sana....
 
ICC The Hague mara baada ya uchaguzi watawakamata OCD RPC Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea kuwabambikia kesi kuwaonea wapinzani
Mkuu General ...diipdaiva WAMESHA TUA
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom